Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Pia ni mtu mwenye kiburi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe mnyenyekevu kwa kila kitu ili mpige dili vizuri.?
Asante. Umetukumbusha na yale ambayo sikuyaweka lakini ni halisia.Mtu aliyewavunjia wananchi nyumba bila huruma, akakataa kusaidia watakaoumbwa na baa la njaa, akapora haki ya uchaguzi ya wananchi kwenye serikali za mitaa, akakataa uchunguza matukio ya wasiojulikana, akateua mafisadi na akawapa nafasi za kimamlaka, akafunga watu jela kwa uonevu, akanyanyasa wapinzani, akanunua wapinzani njaa na kuitisha chaguzi za kimagumashi na kuwashindisha kinguvu aliowanunua, akatumia nguvu za kijeshi kutwaa korosho za wananchi
Huyu ndo mnyenyekevu huyu?
Acheni kutania Watanzania!
Hakuna anayemlazimisha awe mnyenyekevu. Kama ni sifa asiyoipenda, na wala haiishi. Tatizo, kwa nini awadanganye watu?Awe mnyenyekevu kwa kila kitu ili mpige dili vizuri.?
Kuna bango moja la mgombea wa kiti cha Urais, Mh. Magufuli linasema eti Magufuli ni mnyenyekevu!
Nilipoliona bango hili, nikashtuka sana. Nikajiuliza maswali mengi:
1) Ni Magufuli mwenyewe amehiari kuwepo kwa bango la namna hiyo?...
Anawachukia wazee na wastaafu kiasi ya kuwanyima pensheni zao! Labda Kwa sababu yeye hatazeeka au amejiwekea pensheni nono.Kuna bango moja la mgombea wa kiti cha Urais, Mh. Magufuli linasema eti Magufuli ni mnyenyekevu!
Nilipoliona bango hili, nikashtuka sana. Nikajiuliza maswali mengi:
1) Ni Magufuli mwenyewe amehiari kuwepo kwa bango la namna hiyo?...
Mkuu hizi sifa zinapaswa ziandiikwe Kwenye bango kubwa na litundikwe kila lango kuu la kuingia miji yote tz. Ni sifa za kweliKuna bango moja la mgombea wa kiti cha Urais, Mh. Magufuli linasema eti Magufuli ni mnyenyekevu!
Nilipoliona bango hili, nikashtuka sana. Nikajiuliza maswali mengi:
1) Ni Magufuli mwenyewe amehiari kuwepo kwa bango la namna hiyo?.....
Na anavyomtajataja Mungu ipo siku atamlipa sawia Mungu hadhihakiwi. Magu anamdhihaki Mungu.Kuna bango moja la mgombea wa kiti cha Urais, Mh. Magufuli linasema eti Magufuli ni mnyenyekevu!
Nilipoliona bango hili, nikashtuka sana. Nikajiuliza maswali mengi:
1) Ni Magufuli mwenyewe amehiari kuwepo kwa bango la namna hiyo?...
Kuna bango moja la mgombea wa kiti cha Urais, Mh. Magufuli linasema eti Magufuli ni mnyenyekevu!
Nilipoliona bango hili, nikashtuka sana. Nikajiuliza maswali mengi:
1) Ni Magufuli mwenyewe amehiari kuwepo kwa bango la namna hiyo?...
Mh Rais anatisha aisee ile siku anacheza singeli Singida alivyonyanyukaa tuu high table wotee mbiooo naoo wakanyanyukaa kwa spidi ya umeme na kucheza nae.Ni kweli kabisa. Kwanza anapenda sana kuabudiwa. Awamu zote hakujawahi kutokea rais anayependa kuabudiwa kama huyu. Akiwa kwenye mkutano akimtaja mtu, huyo mtu ni lazima asimame na kuinama kwa heshima. Mbona awamu nyingine haikuwa hivyo? Kila kitu anapenda asifiwe ni yeye anafanya. Kwenye awamu hii ndiyo misemo kama ''ikikupendeza mheshimiwa rais... tunaomba.....'' Kwa kifupi amejikweza na kujiweka juu mawinguni. Anafikia hatua ya kufokea wafanyakazi na kuwaambia... ''yaani mimi ndiyo unanijibu hivyo.....''.
Ni kweli kabisa. Kwanza anapenda sana kuabudiwa. Awamu zote hakujawahi kutokea rais anayependa kuabudiwa kama huyu. Akiwa kwenye mkutano akimtaja mtu, huyo mtu ni lazima asimame na kuinama kwa heshima. Mbona awamu nyingine haikuwa hivyo? Kila kitu anapenda asifiwe ni yeye anafanya. Kwenye awamu hii ndiyo misemo kama ''ikikupendeza mheshimiwa rais... tunaomba.....'' Kwa kifupi amejikweza na kujiweka juu mawinguni. Anafikia hatua ya kufokea wafanyakazi na kuwaambia... ''yaani mimi ndiyo unanijibu hivyo.....''.
Ila wakikosa maslai yao kusifu na kuabudu kunakomea hapo baada ya kukosa ubunge si musiba,kange, nkamia, bashite wakiziimba Tena zile tenzi za rohoniMh Rais anatisha aisee ile siku anacheza singeli Singida alivyonyanyukaa tuu high table wotee mbiooo naoo wakanyanyukaa kwa spidi ya umeme na kucheza nae.,
Nikasema duhh hii shughuli pevuu
Kwa mara ya kwanza nimelipna hilo bango Singida. Nikaona tena Shinyanga. Mwanza, ni bango kubwa, wameliweka pale roundabout ya samaki.Namimi nimeliona shinyanga nikashangaaa sana