Bank account

Bank account

Shobondike

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
8
Reaction score
4
Eti wanajamvi ni bank gani unaweza fungua account na kuweka pesa nyingi n.k leo naweka dollar 560, kesho kutwa naweka dollar 4700. In short ni bank gani hapa Tanzania naweza kuhifadhi pesa hadi kiasi cha dollar laki tano au dollar millioni moja na at the same time bado naweza ku withdraw na kutumia hela??? Naomba msaada wenu wana jamvi
 
naweka dollar 4700.
Benki zotewaweza fanya hivyo.

#1. Itafika wakati zitatakiwa documents kuonyesha uhalari/chanzo wa hizo fedha, hivyo jiandae kwa hilo.

#2. Fika katika benki ya chaguo lako, omba kuonana na branch manger atakupa ushauri wa account type unayopaswa kufungua

Kila lakheri ndugu
 
[emoji120][emoji120] asante
 
Benki zotewaweza fanya hivyo.

#1. Itafika wakati zitatakiwa documents kuonyesha uhalari/chanzo wa hizo fedha, hivyo jiandae kwa hilo.

#2. Fika katika benki ya chaguo lako, omba kuonana na branch manger atakupa ushauri wa account type unayopaswa kufungua

Kila lakheri ndugu
Process zote hizo za nini hadi uonane na branch manager....hata bank officer wa kawaida tu anaweza kukupa ushauri
 
Kwasasa Account Unayoitaka Lazima Ujitahidi Kuwa Na Chanzo Halali Cha Mapato
Vinginevyo Serikali Ya Viwanda Itazichukua Pesa Na Kukupeleka Kisutu Court
Uchumi Umekuwa Unayumbishwa Na Pesa Chafu
 
Kwasasa Account Unayoitaka Lazima Ujitahidi Kuwa Na Chanzo Halali Cha Mapato
Vinginevyo Serikali Ya Viwanda Itazichukua Pesa Na Kukupeleka Kisutu Court
Uchumi Umekuwa Unayumbishwa Na Pesa Chafu
Vyanzo halali vipo, shida yangu nijue bank ipi nzuri
 
Akaunti ya dollar zina gharama tofauti na za Tshs. Makato ya kila mwezi yanatofautiana benki moja na nyingine lakini ni kati ya usd 10 hadi 30.

Pia ukienda kutoa pesa unakatwa kulingana na kiasi unachotoa. Pia ukiweka pesa endapo ni zile ndogo ndogo kama usd 1, 5, 10 au 20, unakatwa gharama za kuweka hizo pesa kwa akaunti yako.

Tukirudi kwenye swali lako, nenda equity hawana makato ya kila mwezi na kufungua akaunti ni mara moja ukiwa na vitu wanavyohitaji. Kitambulisho cha taifaau cha kupigia kura.

Japo na wenyewe wanakero zao ndogondogo lakini kwa akaunti ya USD wako vizuri. Zingatia hautapewa ATM kadi, vinginevyo wawe wameshaanza kutoa hivi karibuni.
 
Tafuta Big Banks au Specialised Corporate Transaction Banking kama Citi Bank, Std Chartered Bank, Exim au DTB
 
Back
Top Bottom