Shobondike
Member
- Jul 29, 2017
- 8
- 4
Eti wanajamvi ni bank gani unaweza fungua account na kuweka pesa nyingi n.k leo naweka dollar 560, kesho kutwa naweka dollar 4700. In short ni bank gani hapa Tanzania naweza kuhifadhi pesa hadi kiasi cha dollar laki tano au dollar millioni moja na at the same time bado naweza ku withdraw na kutumia hela??? Naomba msaada wenu wana jamvi