Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

mm mtu mwenye busara namheshimu sana,
ku handle pressure ya member wa jf waliobeba mbegu za mapapai na maganda ya karanga kichwani bila ku fume inahitaj mtu mwenye courage sana.

M nakupongeza tuu kwa hilo,
Unasema iliyo Kweli
 
Watu ambao wana type nyuma ya keyboard kutuaminisha wana pesa kumbe hamna kitu ...na by the way hakuna tajiri aliyeishi miaka mingi mwenye majivuno na dharau na kejeli kwa watu
Marekani matajiri Wana nyodo Tena za kuua mtu ukitaka pesa waweza kukuambia kubali ushoga na usagaji tuku shoge na kukusaga ndio tukupe pesa.mwenye pesa ana nyodo asikudanganye mtu .Lofa Ndie hujifanya mtu wa watu kila msiba yupo kujionyesha mtu wa watu tajiri wala
 
Haiwezi fika huko sababu nitachoifanyia hio ela najua kitajiuza chenyewe
Wewe una umimi Sana ohh najua itanilipa biashara ya kukopeshana anatakiwa na anayekukopesha aridhike kuwa pesa yake itarudi.Sio ohhh mimi.ninayekopa najua najua pesa nitapata nyingi nk.kaa na ujuaji wako na umimi wako.wewe tapeli full stop sichangii Tena hi mada yako .To hell with you
 
Fedha inarudi tena yote hata kabla ya huo muda ambao umepangwa katika mikataba.
 
Usipolipa mkopo Huo wewe mkopaji mwenye hiyo dhamana ya nyumba mkopeshaji pesa yake itarudije wakati nyumba haiuziki?
Hapo ndio mahali sijawai kuona nyumba inauzwa na bank halafu haiuziki.
 
Asante Kiongozi kwa maelekezo mazuri
 
Wazo langu kutokana na lilivyo wazo linalokwenda kuzaliana kwa kasi "Sitaweza Kuliweka Hadharani" Sababu Usimamizi wake ni rafiki kwa mtu yeyote.Ikiwa una Fedha karibu tufanye kazi.
 
Nenda EFTA . mikopo bila dhamana ,lakini uwe na 5% ya hiyo pesa
.
Kwa vile una nyumba utaiombea mkopo wa 2,500,000/= , kisha utapata hiyo 50,000,000/=.

OK,
 
Nenda EFTA . mikopo bila dhamana ,lakini uwe na 5% ya hiyo pesa
.
Kwa vile una nyumba utaiombea mkopo wa 2,500,000/= , kisha utapata hiyo 50,000,000/=.

OK,
Wanapatikana wapi hawa? Je wana matawi Mikoani ?
 
naona unataka kuiba wazo lake. huna lolote. kwanza kumbuka mtoa uzi hajaomba akopeshwe na members humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…