Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Habari ndugu zangu.
Nina wazo la Biashara ambayo inahitaji Fedha kwa ajili ya uwekezaji. Benk Zilizo nyingi Zinataka Uwe na biashara ambayo imedumu zaidi ya miezi sita, Lakini Mimi s nina nyumba sina Biashara ambayo benki wanataka iwe imedumu zaidi ya miezi sita,naweza kuchukulia mkopo kutokana na hio nyumba. kama kuna taasisi binafsi hata Bank ambazo bado wanakubali kuchukua nyaraka za Nyumba ili nipate Mikopo nakuombeni Ushirikiano wenu wa hali na mali.

Asanteni .
Duh..kama nawaona majembe haooo wamefunga maspika yao hapo nje wanaporomosha ngwasuma kuvuta watu wajaejae[emoji351][emoji351][emoji351][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Kama vile uliombwa uchangie hii mada ...una msongo mkubwa wa mawazo unahitaji msaada mkubwa sana...
Wewe una umimi Sana ohh najua itanilipa biashara ya kukopeshana anatakiwa na anayekukopesha aridhike kuwa pesa yake itarudi.Sio ohhh mimi.ninayekopa najua najua pesa nitapata nyingi nk.kaa na ujuaji wako na umimi wako.wewe tapeli full stop sichangii Tena hi mada yako .To hell with you
 
Duh..kama nawaona majembe haooo wamefunga maspika yao hapo nje wanaporomosha ngwasuma kuvuta watu wajaejae[emoji351][emoji351][emoji351][emoji350][emoji350][emoji350]
Unafikiri kwamba kuna mtu anaependa nyumba yake ipigwe na mnada baada ya kuchukua mikopo bank? Kuna mambo ambayo hutokea na sisi kama Binaadam tunakua hatuna uwezo tena wa kuzuia jambo lisitokee, Kikubwa Kuwa na Shukran kwa kila jambo litakalotokea katika Maisha
 
Nenda benki humu hupati hata sumni, wengi humu tuna tanga tanga
Bank mbili nimeenda wanataka niwe na asilimia 20-30 za kuanzia. Equity na CRDB.. Hebu nitajie Bank gani nyingine wanaweza kunielewa nikajaribu
 
Bank mbili nimeenda wanataka niwe na asilimia 20-30 za kuanzia. Equity na CRDB.. Hebu nitajie Bank gani nyingine wanaweza kunielewa nikajaribu
Sasa mzee unataka upewe hela bure bure tu,ukikimbia nazo je
 
Habari wanabodi?
Wanabodi nina jambo nataka kulifanya, itagharimu Shilingi milion 13.8, Ila nimepungukiwa na shilingi milion 6 tu.
Nakuombeni Ndugu Wanabodi kama kuna mwenye kuweza kunipatia fedha hio shilingi Milion 6, Mimi nitairudisha tarehe 15 ya mwezi huu siku ya Jumanne kama leo, Na kama ni dhamana nina kiwanja ambacho nina mikataba yake sq meter 396.
Asanteni
karibuni kwa michango yenu!
NB:nipo Arusha Tanzania
 
Iyo dill nenda nayo taratibu usije ukapigwa na hela za watu zikapigiwamo angalizo.
 
Habari wanabodi?
Wanabodi nina jambo nataka kulifanya, itagharimu Shilingi milion 13.8, Ila nimepungukiwa na shilingi milion 6 tu.
Nakuombeni Ndugu Wanabodi kama kuna mwenye kuweza kunipatia fedha hio shilingi Milion 6, Mimi nitairudisha tarehe 15 ya mwezi huu siku ya Jumanne kama leo, Na kama ni dhamana nina kiwanja ambacho nina mikataba yake sq meter 396.
Asanteni
karibuni kwa michango yenu!
NB:nipo Arusha Tanzania
Title umeandika million af ndani unaongelea Millions.
 
Habari za majukum wakuu?
Naomba kufahamishwa ni taasisi zipi au Bank zipi zinatoa mikopo, hadi milioni mia moja,
Karibuni kwa michango yenu.
Kama una plan ya biashara ya mil100 alafu hauna wazo ni taasisi gani inaweza kukukopesha...Achana na Hilo wazo fikiria vitu vingine mkuu.
 
Back
Top Bottom