TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Bank pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kitu gani hicho mkuuGawa 0713
Bank pekee
Duh..kama nawaona majembe haooo wamefunga maspika yao hapo nje wanaporomosha ngwasuma kuvuta watu wajaejae[emoji351][emoji351][emoji351][emoji350][emoji350][emoji350]Habari ndugu zangu.
Nina wazo la Biashara ambayo inahitaji Fedha kwa ajili ya uwekezaji. Benk Zilizo nyingi Zinataka Uwe na biashara ambayo imedumu zaidi ya miezi sita, Lakini Mimi s nina nyumba sina Biashara ambayo benki wanataka iwe imedumu zaidi ya miezi sita,naweza kuchukulia mkopo kutokana na hio nyumba. kama kuna taasisi binafsi hata Bank ambazo bado wanakubali kuchukua nyaraka za Nyumba ili nipate Mikopo nakuombeni Ushirikiano wenu wa hali na mali.
Asanteni .
Wewe una umimi Sana ohh najua itanilipa biashara ya kukopeshana anatakiwa na anayekukopesha aridhike kuwa pesa yake itarudi.Sio ohhh mimi.ninayekopa najua najua pesa nitapata nyingi nk.kaa na ujuaji wako na umimi wako.wewe tapeli full stop sichangii Tena hi mada yako .To hell with you
Unafikiri kwamba kuna mtu anaependa nyumba yake ipigwe na mnada baada ya kuchukua mikopo bank? Kuna mambo ambayo hutokea na sisi kama Binaadam tunakua hatuna uwezo tena wa kuzuia jambo lisitokee, Kikubwa Kuwa na Shukran kwa kila jambo litakalotokea katika MaishaDuh..kama nawaona majembe haooo wamefunga maspika yao hapo nje wanaporomosha ngwasuma kuvuta watu wajaejae[emoji351][emoji351][emoji351][emoji350][emoji350][emoji350]
Mkuu nikopeshe mimi 7.5M ninunue bajaji nitakulipa Mil 10.8 ndani ya miezi 18Kila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyewe
Nenda benki humu hupati hata sumni, wengi humu tuna tanga tangaMkuu nikopeshe mimi 7.5M ninunue bajaji nitakulipa Mil 10.8 ndani ya miezi 18
Bank mbili nimeenda wanataka niwe na asilimia 20-30 za kuanzia. Equity na CRDB.. Hebu nitajie Bank gani nyingine wanaweza kunielewa nikajaribuNenda benki humu hupati hata sumni, wengi humu tuna tanga tanga
Sasa mzee unataka upewe hela bure bure tu,ukikimbia nazo jeBank mbili nimeenda wanataka niwe na asilimia 20-30 za kuanzia. Equity na CRDB.. Hebu nitajie Bank gani nyingine wanaweza kunielewa nikajaribu
Hapana naweka dhamana inayoendana na kiasi hikoSasa mzee unataka upewe hela bure bure tu,ukikimbia nazo je
Wao ndio wanakupangia masharti na sio we we ndio upangeHapana naweka dhamana inayoendana na kiasi hiko
Title umeandika million af ndani unaongelea Millions.Habari wanabodi?
Wanabodi nina jambo nataka kulifanya, itagharimu Shilingi milion 13.8, Ila nimepungukiwa na shilingi milion 6 tu.
Nakuombeni Ndugu Wanabodi kama kuna mwenye kuweza kunipatia fedha hio shilingi Milion 6, Mimi nitairudisha tarehe 15 ya mwezi huu siku ya Jumanne kama leo, Na kama ni dhamana nina kiwanja ambacho nina mikataba yake sq meter 396.
Asanteni
karibuni kwa michango yenu!
NB:nipo Arusha Tanzania
MsaadaIyo dill nenda nayo taratibu usije ukapigwa na hela za watu zikapigiwamo angalizo.
Nilijisahau kudrafti mkuuTitle umeandika million af ndani unaongelea Millions.
Kama una plan ya biashara ya mil100 alafu hauna wazo ni taasisi gani inaweza kukukopesha...Achana na Hilo wazo fikiria vitu vingine mkuu.Habari za majukum wakuu?
Naomba kufahamishwa ni taasisi zipi au Bank zipi zinatoa mikopo, hadi milioni mia moja,
Karibuni kwa michango yenu.