hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Uzuri na ukubwa yeah. .vina changia katika hilo ndio maana lazima ma officer wa mikopo waje kufanya tathmini nyumba yako kisha wapeleke mrejesho bank '
Hakuna nyumba ambayo haiwezi kuidhinishwa ''Bali mikopo inatofautiana na thamani ya nyumba husika. ... hauwezi kupewa mkopo wa ml.50 kwa nyumba yenye banda la vyemba 3 tu pekee huku likiwa katika location Ya kawaida na nyumba yenyewe pia ina Muone kano chakavu

Uzuri wa nyumba unahusiana vipi kwenye Mikopo? ina maana kuna nyumba ambazo haziwezi kuhidhinishwa na wakopeshaji?