Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Asipolipa mkopo Huyo mkopaji mwenye hiyo dhamana ya nyumba mkopeshaji pesa yake itarudije wakati nyumba haiuziki?

😂😂😂😉Technical.qn..hahhaa yehodaya had unaudhi😂😂😂
 
kuwa na nyumba sio kigezo pekeyake cha kupata mkopo, bank wanataka kuona mzunguuzo wako wa pesa kwenye biashara sas kama huna turnover hata ya million kumi tu kwa mwezi,ki vigumu kurudisha mkopo wa milion hamsin
ndio maana nikasema bank zilizo nyingi wanataka uwe na angalau biashara ambayo tayari ina karibu miezi sita na kuendelea, Ila mimi sina Biashara nina nyumba ambayo naweza kupata Mikopo kupitia hapo!
 
Mazingira ya kutaka kupoteza nyumba haya kama unasema una uzoefu wa kufanya biashara kwa muda wa miaka kumi unacho cha kuanzia kwa nini usiendelee nayo na ukaendelea kukusanya kodi kwa wapangaji ili zikusaidie kwenye kuongeza mtaji...Mkuu 50 million kwa kukopa ili ufanye biashara Mpya itakutesa sana kama haupo kwenye mzunguko huo sina imani kama unaweza kupata marejesho ya hiyo pesa kwa kila mwezi kumbuka utakua hauna 50 million tena una bidhaa tuu hapo ndipo kazi inapoanza...
 
Fedha hio
Na mkopeshaji SI rahisi kukupa pesa kwa dhamana ambayo ana uhakika pesa Yake haitarudi hata akiichukua hiyo dhamana.
inarudi tena mapema tu kwa Sababu Biashara nitakayoifanyia ni Biashara ambayo inayojiuza yenyewe
 
Mkopo kwa biashara ya kufikirika ambayo haijafanyika shida kupata mkopo SI rahisi.Kwa wakopeshaji hiyo Ni biashara hewa.Mikopo rahisi kupata Ni ile ya kuendeleza biashara .Hiyo ya kukaa unatunga kichwani kuwa ukifanya hivi na hivi unapiga pesa ile ya kutunga hewani ya watani zangu matapeli wahaya sahau kabisa kupata mkopo
 
Mkopo kwa biashara ya kufikirika ambayo haijafanyika shida kupata mkopo SI rahisi.Kwa wakopeshaji hiyo Ni biashara hewa.Mikopo rahisi kupata Ni ile ya kuendeleza biashara .Hiyo ya kukaa unatunga kichwani kuwa ukifanya hivi na hivi unapiga pesa ile ya kutunga hewani ya watani zangu matapeli wahaya sahau.
Mimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.
 
Kila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyewe
 
Mkuu hebu piga picha hiyo nyumba yako niweze kuiona unaweza sema nyumba kumbe unamiliki banda LA kuku na unataka mkopo mkubwa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wa kejeli hawakosekani kwenye nyuzi Kama hizi.
 
Mkuu hawa wasikutie kichomi. ..Kama nyumba yako ni nzuri ' Wewe nenda bank tu kafuatilie suala husika. .utakutana na ma-afisa wa mikopo. .. wakisikia kuwa unataka kuchukua mkopo na dhamana yako ni nyumba wata watakupokea kwa shangwe zote ..maana wao wenyewe huwa wanapiga hela hapo ' huwa bank inawapa pesa wakafanye utafiti kwanza katika hiyo nyumba ..Pia watakutaka endapo Utapata mkopo uwapoze wao wapo Tayari kufanya chini juu mpaka ufanikishe kuupata mkopo ...

Haya nenda faster ..Lakini usije kuleta bandiko tu hapa na kuanza kulia Lia kwamba nyumba yako inapigwa mnada
Mimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.
 
Mkuu hawa wasikutie kichomi. ..Kama nyumba yako ni nzuri ' Wewe nenda bank tu kafuatilie suala husika. .utakutana na ma-afisa wa mikopo. .. wakisikia kuwa unataka kuchukua mkopo na dhamana yako ni nyumba wata watakupokea kwa shangwe zote ..maana wao wenyewe huwa wanapiga hela hapo ' huwa bank inawapa pesa wakafanye utafiti kwanza katika hiyo nyumba ..Pia watakutaka endapo Utapata mkopo uwapoze wao wapo Tayari kufanya chini juu mpaka ufanikishe kuupata mkopo ...

Haya nenda faster ..Lakini usije kuleta bandiko tu hapa na kuanza kulia Lia kwamba nyumba yako inapigwa mnada
Haiwezi fika huko sababu nitachoifanyia hio ela najua kitajiuza chenyewe
 
Watu ambao wana type nyuma ya keyboard kutuaminisha wana pesa kumbe hamna kitu ...na by the way hakuna tajiri aliyeishi miaka mingi mwenye majivuno na dharau na kejeli kwa watu
Kila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyewe
 
Mkuu hawa wasikutie kichomi. ..Kama nyumba yako ni nzuri ' Wewe nenda bank tu kafuatilie suala husika. .utakutana na ma-afisa wa mikopo. .. wakisikia kuwa unataka kuchukua mkopo na dhamana yako ni nyumba wata watakupokea kwa shangwe zote ..maana wao wenyewe huwa wanapiga hela hapo ' huwa bank inawapa pesa wakafanye utafiti kwanza katika hiyo nyumba ..Pia watakutaka endapo Utapata mkopo uwapoze wao wapo Tayari kufanya chini juu mpaka ufanikishe kuupata mkopo ...

Haya nenda faster ..Lakini usije kuleta bandiko tu hapa na kuanza kulia Lia kwamba nyumba yako inapigwa mnada
Uzuri wa nyumba unahusiana vipi kwenye Mikopo? ina maana kuna nyumba ambazo haziwezi kuhidhinishwa na wakopeshaji?
 
Mkuu nimegundua una busara za hali ya juu na una uhakika na unachokiamini, ila sad news tu nikuambie humu huwez pata mtu wa kukukopesha hata elfu tano, huku ni maneno mengi tu, fake life nyingi watu kujidai wana hela kumbe hamna kitu, maswali mengi na kejeli nyingi, cha kufanya nenda tu benki tembelea benki mbalimbali kakutane na maafisa mikopo ingia hata meeting room nao then from there naamin utakua umepata info ya kutosha kukuwezesha kupata huo mkopo
Mimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.
 
Mkuu nimegundua una busara za hali ya juu na una uhakika na unachokiamini, ila sad news tu nikuambie humu huwez pata mtu wa kukukopesha hata elfu tano, huku ni maneno mengi tu, fake life nyingi watu kujidai wana hela kumbe hamna kitu, maswali mengi na kejeli nyingi, cha kufanya nenda tu benki tembelea benki mbalimbali kakutane na maafisa mikopo ingia hata meeting room nao then from there naamin utakua umepata info ya kutosha kukuwezesha kupata huo mkopo
Nashukuru mkuu kwa mchango wako katika hili, niseme tu kwamba wakopeshaji wakitaka kujua ni kitu gani nataka kufanya nitawaeleza naamini kama wakinisikiliza hawatasita kuniongezea hata mara tatu ya hio milion hamsini, Muda tu ndio utanipa majibu
 
Back
Top Bottom