Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Asipolipa mkopo Huyo mkopaji mwenye hiyo dhamana ya nyumba mkopeshaji pesa yake itarudije wakati nyumba haiuziki?
😂😂😂😉Technical.qn..hahhaa yehodaya had unaudhi😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipolipa mkopo Huyo mkopaji mwenye hiyo dhamana ya nyumba mkopeshaji pesa yake itarudije wakati nyumba haiuziki?
Nasema hivyo kwa Sababu mimi sitaki kuiuzaUsipolipa mkopo Huo wewe mkopaji mwenye hiyo dhamana ya nyumba mkopeshaji pesa yake itarudije wakati nyumba haiuziki?
Na mkopeshaji SI rahisi kukupa pesa kwa dhamana ambayo ana uhakika pesa Yake haitarudi hata akiichukua hiyo dhamana.Nasema hivyo kwa Sababu mimi sitaki kuiuza
ndio maana nikasema bank zilizo nyingi wanataka uwe na angalau biashara ambayo tayari ina karibu miezi sita na kuendelea, Ila mimi sina Biashara nina nyumba ambayo naweza kupata Mikopo kupitia hapo!kuwa na nyumba sio kigezo pekeyake cha kupata mkopo, bank wanataka kuona mzunguuzo wako wa pesa kwenye biashara sas kama huna turnover hata ya million kumi tu kwa mwezi,ki vigumu kurudisha mkopo wa milion hamsin
inarudi tena mapema tu kwa Sababu Biashara nitakayoifanyia ni Biashara ambayo inayojiuza yenyeweNa mkopeshaji SI rahisi kukupa pesa kwa dhamana ambayo ana uhakika pesa Yake haitarudi hata akiichukua hiyo dhamana.
Mkopo kwa biashara ya kufikirika ambayo haijafanyika shida kupata mkopo SI rahisi.Kwa wakopeshaji hiyo Ni biashara hewa.Mikopo rahisi kupata Ni ile ya kuendeleza biashara .Hiyo ya kukaa unatunga kichwani kuwa ukifanya hivi na hivi unapiga pesa ile ya kutunga hewani ya watani zangu matapeli wahaya sahau kabisa kupata mkopoFedha hio
inarudi tena mapema tu kwa Sababu Biashara nitakayoifanyia ni Biashara ambayo inayojiuza yenyewe
Mimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.Mkopo kwa biashara ya kufikirika ambayo haijafanyika shida kupata mkopo SI rahisi.Kwa wakopeshaji hiyo Ni biashara hewa.Mikopo rahisi kupata Ni ile ya kuendeleza biashara .Hiyo ya kukaa unatunga kichwani kuwa ukifanya hivi na hivi unapiga pesa ile ya kutunga hewani ya watani zangu matapeli wahaya sahau.
Kila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyeweMimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wa kejeli hawakosekani kwenye nyuzi Kama hizi.Mkuu hebu piga picha hiyo nyumba yako niweze kuiona unaweza sema nyumba kumbe unamiliki banda LA kuku na unataka mkopo mkubwa...
Njoo tuongee vizuri YEHODAYAKila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyewe
Kabisa wala sijavuta leo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bonge moja la swali la kum bumbulua aliyepoteza akili. Mkuu nahisi ungekuwa karibu ungemzaba kibao kwanza kabla ya kumuuliza. Huyu ni Deo Kisandu Chief. Muelewe tu
Nenda kwa Papaa msofe mkuu nyumba kwake ndo deal!
Mimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.
Haiwezi fika huko sababu nitachoifanyia hio ela najua kitajiuza chenyeweMkuu hawa wasikutie kichomi. ..Kama nyumba yako ni nzuri ' Wewe nenda bank tu kafuatilie suala husika. .utakutana na ma-afisa wa mikopo. .. wakisikia kuwa unataka kuchukua mkopo na dhamana yako ni nyumba wata watakupokea kwa shangwe zote ..maana wao wenyewe huwa wanapiga hela hapo ' huwa bank inawapa pesa wakafanye utafiti kwanza katika hiyo nyumba ..Pia watakutaka endapo Utapata mkopo uwapoze wao wapo Tayari kufanya chini juu mpaka ufanikishe kuupata mkopo ...
Haya nenda faster ..Lakini usije kuleta bandiko tu hapa na kuanza kulia Lia kwamba nyumba yako inapigwa mnada
Kila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyewe
Uzuri wa nyumba unahusiana vipi kwenye Mikopo? ina maana kuna nyumba ambazo haziwezi kuhidhinishwa na wakopeshaji?Mkuu hawa wasikutie kichomi. ..Kama nyumba yako ni nzuri ' Wewe nenda bank tu kafuatilie suala husika. .utakutana na ma-afisa wa mikopo. .. wakisikia kuwa unataka kuchukua mkopo na dhamana yako ni nyumba wata watakupokea kwa shangwe zote ..maana wao wenyewe huwa wanapiga hela hapo ' huwa bank inawapa pesa wakafanye utafiti kwanza katika hiyo nyumba ..Pia watakutaka endapo Utapata mkopo uwapoze wao wapo Tayari kufanya chini juu mpaka ufanikishe kuupata mkopo ...
Haya nenda faster ..Lakini usije kuleta bandiko tu hapa na kuanza kulia Lia kwamba nyumba yako inapigwa mnada
Mimi nina Hakika kwamba niikipata hio Fedha- Nitafanya jambo moja litakalonitoa katika hali moja kwenda level nyingine, Sitabaki nilivyo.
Nashukuru mkuu kwa mchango wako katika hili, niseme tu kwamba wakopeshaji wakitaka kujua ni kitu gani nataka kufanya nitawaeleza naamini kama wakinisikiliza hawatasita kuniongezea hata mara tatu ya hio milion hamsini, Muda tu ndio utanipa majibuMkuu nimegundua una busara za hali ya juu na una uhakika na unachokiamini, ila sad news tu nikuambie humu huwez pata mtu wa kukukopesha hata elfu tano, huku ni maneno mengi tu, fake life nyingi watu kujidai wana hela kumbe hamna kitu, maswali mengi na kejeli nyingi, cha kufanya nenda tu benki tembelea benki mbalimbali kakutane na maafisa mikopo ingia hata meeting room nao then from there naamin utakua umepata info ya kutosha kukuwezesha kupata huo mkopo