Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Duh..kama nawaona majembe haooo wamefunga maspika yao hapo nje wanaporomosha ngwasuma kuvuta watu wajaejae[emoji351][emoji351][emoji351][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Kama vile uliombwa uchangie hii mada ...una msongo mkubwa wa mawazo unahitaji msaada mkubwa sana...
 
Duh..kama nawaona majembe haooo wamefunga maspika yao hapo nje wanaporomosha ngwasuma kuvuta watu wajaejae[emoji351][emoji351][emoji351][emoji350][emoji350][emoji350]
Unafikiri kwamba kuna mtu anaependa nyumba yake ipigwe na mnada baada ya kuchukua mikopo bank? Kuna mambo ambayo hutokea na sisi kama Binaadam tunakua hatuna uwezo tena wa kuzuia jambo lisitokee, Kikubwa Kuwa na Shukran kwa kila jambo litakalotokea katika Maisha
 
Kila heri Katika juhudi zako mimi pesa ninazo sikukopeshi hiyo nyumba baki nayo mwenyewe
Mkuu nikopeshe mimi 7.5M ninunue bajaji nitakulipa Mil 10.8 ndani ya miezi 18
 
Nenda benki humu hupati hata sumni, wengi humu tuna tanga tanga
Bank mbili nimeenda wanataka niwe na asilimia 20-30 za kuanzia. Equity na CRDB.. Hebu nitajie Bank gani nyingine wanaweza kunielewa nikajaribu
 
Bank mbili nimeenda wanataka niwe na asilimia 20-30 za kuanzia. Equity na CRDB.. Hebu nitajie Bank gani nyingine wanaweza kunielewa nikajaribu
Sasa mzee unataka upewe hela bure bure tu,ukikimbia nazo je
 
Habari wanabodi?
Wanabodi nina jambo nataka kulifanya, itagharimu Shilingi milion 13.8, Ila nimepungukiwa na shilingi milion 6 tu.
Nakuombeni Ndugu Wanabodi kama kuna mwenye kuweza kunipatia fedha hio shilingi Milion 6, Mimi nitairudisha tarehe 15 ya mwezi huu siku ya Jumanne kama leo, Na kama ni dhamana nina kiwanja ambacho nina mikataba yake sq meter 396.
Asanteni
karibuni kwa michango yenu!
NB:nipo Arusha Tanzania
 
Iyo dill nenda nayo taratibu usije ukapigwa na hela za watu zikapigiwamo angalizo.
 
Title umeandika million af ndani unaongelea Millions.
 
Habari za majukum wakuu?
Naomba kufahamishwa ni taasisi zipi au Bank zipi zinatoa mikopo, hadi milioni mia moja,
Karibuni kwa michango yenu.
Kama una plan ya biashara ya mil100 alafu hauna wazo ni taasisi gani inaweza kukukopesha...Achana na Hilo wazo fikiria vitu vingine mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…