ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
These people are very smart!Nenda equitybank.. You only need kitambulisho chako kama lesen, au k-cha kura, na pesa 10000 hauitaji mapicha, wala mabarua ya mwenyekiti... Hakuna monthly charges,,, withdraw charges ni 500 kwa ATM na 1000 kwa kaunta...
ukijaribu equity hautarudi UBA..Najua Unahitaj kwa manunuz ya online nenda uba mi ndo ninayo itumia rates zao ziko vizur wakifuatiwa na abc
UBA wana card ambayo si lazima uwe na account. Waweza jaza pesa kupitia MPesa na kuendelea na matumizi ya kununua online bila zengweNaomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana
Msaada wenu wakuu...
Shukurani
Wewe hujajibu sawa. Anataka kwa online purchase.Kuitumia kwako kwenye ATM haithibitishi kwamba waweza fanya online purchaseMimi CRDB nilifungua nikapewa card hapo hapo ndani ya lisaa moja kumliza usajil card yangu hiyo nikaitest ATM nikaeka password yangu na kufnya kazi nikaondok zangu
Point ya sual bank gani anapewa card apo apo ndo suali lakeWewe hujajibu sawa. Anataka kwa online purchase.Kuitumia kwako kwenye ATM haithibitishi kwamba waweza fanya online purchase
Mkuu nenda EQUITY BANK, hakuna gharama ya kufungua akaunt. Card ni 10,000 tu instantly unapata visa yako.Shukurani sana wakuu
Tawi gani hilo[emoji3]Me mwaka jana nimepata hapo hapo
jamaa hawana makato yoyote kwa online transactionsMkuu nenda EQUITY BANK, hakuna gharama ya kufungua akaunt. Card ni 10,000 tu instantly unapata visa yako.
Huitaji passport size wala barua ya serikali ya mtaa. Nenda na ID yako tu.
Shukurani ndugujamaa hawana makato yoyote kwa online transactions
Makato ya kufanya manunuzi hayawezi kosekana.Ndo faida yaojamaa hawana makato yoyote kwa online transactions
Huwa ni week mbili aiseeVip kuhusu exim bank
Ningeshangaa usingeshauri FNB hahaha natania tu mkuu.FNB unapata kila kitu hapohapo..
Naweza kuipata EQUITY BANK mahala gani mkoani Dar es salaamMkuu nenda EQUITY BANK, hakuna gharama ya kufungua akaunt. Card ni 10,000 tu instantly unapata visa yako.
Huitaji passport size wala barua ya serikali ya mtaa. Nenda na ID yako tu.
Quality centre, kariakoo ile barabara ya kwenda mnazi mmoja ukitoka pale shule ya uhuru, mwenge, mbagala,temeke stereo, posta golden jubilee towers. Chagua wewe tu pa kwendaNaweza kuipata EQUITY BANK mahala gani mkoani Dar es salaam
Shukurani sana mkuuQuality centre, kariakoo ile barabara ya kwenda mnazi mmoja ukitoka pale shule ya uhuru, mwenge, mbagala,temeke stereo, posta golden jubilee towers. Chagua wewe tu pa kwenda