Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo

Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo

Naomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana

Msaada wenu wakuu...
Shukurani
UBA wana card ambayo si lazima uwe na account. Waweza jaza pesa kupitia MPesa na kuendelea na matumizi ya kununua online bila zengwe
 
Mimi CRDB nilifungua nikapewa card hapo hapo ndani ya lisaa moja kumliza usajil card yangu hiyo nikaitest ATM nikaeka password yangu na kufnya kazi nikaondok zangu
Wewe hujajibu sawa. Anataka kwa online purchase.Kuitumia kwako kwenye ATM haithibitishi kwamba waweza fanya online purchase
 
Mkuu nenda EQUITY BANK, hakuna gharama ya kufungua akaunt. Card ni 10,000 tu instantly unapata visa yako.
Huitaji passport size wala barua ya serikali ya mtaa. Nenda na ID yako tu.
Naweza kuipata EQUITY BANK mahala gani mkoani Dar es salaam
 
Njia gani ina nafuu ya malipo kati ya e-checking,T/T transfer na Master card?
 
Back
Top Bottom