Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Kwanini wadau wa mabenk awajagi kujibu haya maswali jf na kutumia nafasi hii kujinadi pumbavuu zao
 
basi tuseme iwekwe sehemu ama benki ambayo ukiweka hela inakua safe na unakua huna wasiwasi hata kama utaikuta kama ilivyo bila kariba flani mana tunasikia benk nyingine unahifadhi unakuta hazipo
 
basi tuseme iwekwe sehemu ama benki ambayo ukiweka hela inakua safe na unakua huna wasiwasi hata kama utaikuta kama ilivyo bila kariba flani mana tunasikia benk nyingine unahifadhi unakuta hazipo
"Kibubu" ni sehemu salama kabisa ambapo ukiweka hela yako unaikuta na unaweza kuichukua any time 24/7😀.
 
Kuna Bank x wao wanajieleza kwamba ni 12% kwa mwaka ukiweka Milion 5 kwa miaka 2 inaa maana kwamba Milion 1.2
nani anafahamu Bank inayotoa zaidi ya hiyo 12%
 
Yaani una maana nikiwapa milioni 5 yangu wanakaa nayo kwa miaka 2 kisha wananipa milioni 6.2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…