Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Nikuulize kwnz WHY FIXED ACCOUNT?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kijiwekea akiba nije kutoa baada ta mwaka mmjaNikuulize kwnz WHY FIXED ACCOUNT?
Yes ishu ni kwamba sitaki kuitoa toa, ila akaunti ya dollar bado sijaijua vizuri zaidiKma ishu ni usiitumie tumie ovyo, nikushauri ufungue akaunti ya dollar. Kwenda bureau de change utaona usumbufu.
Habarini wanajamvi, nataka kufungua account kwa ajili ya kuhifadhi pesa, (fixed account) naomba kuuliza ni bank gani wako vizuri kwa huduma hii, asante
Tatzo bdo cjapata wazo lolote la kibiasharaFanyia business hiyo pesa yako,.
Thanks mkuu ngja nkawachukue maelezo nione wako vipAMANA BANK...hiyo iko vizuri.. wanapay hadi 12% kwa mwaka. Jaribu kwenda upate maelezo zaidi.
Nna shilingi laki 8 na lengo nilitaka kuihifadhi huku nkiendelea kuweka mpaka mwakani yan kama kibubuni kiasi gani ulichonacho ? Je una akaunti nyingine bank yoyote kwa sasa ?
Hizi kauli za "tunatoa hadi % flani" ni usanii mtupu. KCB bank wana fixed account flani hivi inaitwa SIMBA savings account na hujinadi kutoa hadi 7% ila nimegundua haifiki huko.AMANA BANK...hiyo iko vizuri.. wanapay hadi 12% kwa mwaka...
Ni kama kufungua account nyingine yoyote sema hii haitakuwa na "service charge" za kila mwezi. Baadhi ya bank wanakupa option ya kuwithdrawl mara nne kwa mwaka. Wengine unaweza kuweka condition usitoe hata mia hadi mwaka upiteNAMI NATAKA KUHIFADHI HELA KWENYE FIXED ACCOUNT ILA SIJAJAUA UTARATIBU WAKE TUSAIDIENIWENGI
Ungeomba msaada basi juu ya wazo la kibiashara,.au pesa imekuja ghafla mzeiyaa[emoji4][emoji4](kidding)Tatzo bdo cjapata wazo lolote la kibiashara
Kanunue hisaHabarini wanajamvi, nataka kufungua account kwa ajili ya kuhifadhi pesa, (fixed account) naomba kuuliza ni bank gani wako vizuri kwa huduma hii, asante