Hayo yamesemwa leo na Raisi Magufuli alipokuwa akikabidhiwa report na CAG.
Amedai kuwa reserve ya Bank of Tanzania imekuwa nakufikia $5 billion. Ambayo inauwezo wakuendesha nchi kwa kipindi cha miezi sita(6 month) kama ikitokea emergency yoyote.
Pia amedai pesa yakujenga striglers dam yakuzalisha MW 2,100 ipo. Pia pesa ya 700km za SGR zipo.
Pamoja nayote amedai zaidi ya mabenki 7 makubwa duniani yameshakuja yakitaka kuikopesha Tanzania kwa interest rate ya hadi chini ya 3% kwenye miradi yake mikubwa yakimaendeleo. Hii imetokana na mabenki kuona Tanzania ikisimamia miradi yake mikubwa bila mikopo.
MY TAKE: Kenya kwa sasa kweli iko na reserve au wamesha itafuna kwakulipa madeni??
Pia tutegemee mradi wa SGR kufika kila kona ya Tanzania kama ilivyo kwa barabara.
Naona kuna umuhimu wa Magufuli kuongezewa muda wakutawala Tanzania. Tumpe 20 years.
Kuangalia hayo maongezi ya JPM anzia katikati kwa mbele kidogo inapokalibia kuisha.