Bank teller/loan officer jobs

Bank teller/loan officer jobs

JOSEPH JOHN,
C/O AMINA T,
PO BOX 9182,
DAR ES SALAAM,
18 February 2011.

REF: APPLICATION FOR THE POST OF LOAN OFFICER/BANK TELLER

I am a Tanzanian Citizen aged 26 years and not married. I have completed Bachelor of Arts in Geography and Environmental studies at University of Dodoma in June 2010.

I am applying for the post of Loan Officer/Bank teller in your company. Currently I am working at Tanzania Meteorological agency (TMA) as a volunteer Dar es salaam station
I am a committed and a hard working person multidisciplinary person with great autonomy and responsible person.

It is my expectations that my request will be considered.

Yours faithfully
JOSEPH JOHN
hapo ulipo ndio panakufaa kwa kozi uliyosoma.
sasa hiyo geography na u bank teller mbona kazi ipo
 
Nakushauri upeleke application kwenye NGO zinazotoa mikopo kama finca, brac, pride, tujijenge hawa mara nyingi wanakuwa na nafasi za credit officers
 
kabla ya kusoma inabidi ujiulize utafanya kazi gani baadae!!

Your statement does not hold water any more!!! I am not sure if you want het to deny her degree ili ajiulize halafu aanze kusoma degree ingine.
 
thx coza, nna bsc. Home economics and human nutrition

Tuma maombi yako kwenye halmashauri za wilaya achana na kukimbilia Bank Teller/Loan Officer wakati wewe ni mama wa Lishe. Kule Halmashauri unaweza kuomba kufanyakazi ya Community development officer II naamina itakufaa tu mpaka hapo utakapoamua kwenda Masters. Je! Hauchagui wilaya nikuambie ni wilaya gani nikuunganishe an DCDO wa huko?
 
Habari wakuu,

jamani hebu nisaidieni natafuta kazi hizo hapo juu. Nina degree.

Thanks.

Jaribu kuandika cover letter na kuambatanisha na CV yako, kisha tuma tu, huwa wanaweza kukuita. Ila uvumilivu ni wa lazima sana maishani mwako
 
Jamani, misahafu inasema kuwa, siku za mwanadamu ni miaka 70 na akiishi sana 80. Hivi mnajua tuko karne ya 21 na bado miaka kadhaa iishe, ila kwa kunukuu sentensi hiyo hapo juu, ni lazima wote tuishie kwenye karne hii. Hivi unaanda vipi maisha yako kwa ajili ya baadae? au una mawazo gani? jaribu kukaa na kutafakari sana, mimi inaniuma sana. asante
 
Lete C.V yako kuna kazi ya kusimamia mradi wa kuku wa kienyeji hapa kibaha. mshahara 150,000 ukishaondoa makato yote. lakoni unaruhusiwa kukopa mara 12 ya take home unalipa ndani ya miaka mitata riba 18%. kma uko tayari tuwasiliane hapa hapa nitakupa namba zangu. kumbuka makato ya mkopo yatafanyika ndani ya miaka mitatu. ukiacha kazi unawajibika kulipa mkopo wote na riba ndani ya miezi sita. Masharti menngine ni ya kwaida katika mkataba wa ajira!!!
 
Hapana mkuu said:
hapana naamini hana nia hiyo ila huyu si mpenda rushwa na mishahara haitoshi ila hapa kuna "keep change" za hapa na pale!
 
jaribu NBC dia last week walitoa nafasi ila yule human resource anapenda hela alimpa my best friend nafasi then akamuomba hongo sh laki 4
 
Jamani, misahafu inasema kuwa, siku za mwanadamu ni miaka 70 na akiishi sana 80. Hivi mnajua tuko karne ya 21 na bado miaka kadhaa iishe, ila kwa kunukuu sentensi hiyo hapo juu, ni lazima wote tuishie kwenye karne hii. Hivi unaanda vipi maisha yako kwa ajili ya baadae? au una mawazo gani? jaribu kukaa na kutafakari sana, mimi inaniuma sana. asante

hii nayo imeingiaje huku?
 
ni kweli mambo huwa yanabadilika. Tunafanya kazi tofauti na tuliyosomea au tunasoma ambayo hatukuyataka.
Usimind anyway.
Good day.
inapaswa tujifunze isije tokea kwa watoto wetu.ni muhimu tuwawezeshe wajitambue mapema.hii itawasaidia wajue wanataka kuwa nani hapo baadaye.huyu jamaa wa SUA, kama alisoma kuondoa ujinga tu, bila ya kuwa na malengo,mbona anataka kazi ya u-bank taller/loan officer..si angelitaka kazi yeyote pia...
 
Jamani, misahafu inasema kuwa, siku za mwanadamu ni miaka 70 na akiishi sana 80. Hivi mnajua tuko karne ya 21 na bado miaka kadhaa iishe, ila kwa kunukuu sentensi hiyo hapo juu, ni lazima wote tuishie kwenye karne hii. Hivi unaanda vipi maisha yako kwa ajili ya baadae? au una mawazo gani? jaribu kukaa na kutafakari sana, mimi inaniuma sana. asante

?????????????????????????????
Inahusiana vipi na topic, ungesubiri treni lisimame ndo upande.
 
Tuma maombi yako kwenye halmashauri za wilaya achana na kukimbilia Bank Teller/Loan Officer wakati wewe ni mama wa Lishe. Kule Halmashauri unaweza kuomba kufanyakazi ya Community development officer II naamina itakufaa tu mpaka hapo utakapoamua kwenda Masters. Je! Hauchagui wilaya nikuambie ni wilaya gani nikuunganishe an DCDO wa huko?
mkuu Job K,nami nina degree kama ya huyo dada, niko tayar kwenda wilaya yeyote,nipm mkuu,tusaidiane
 
Back
Top Bottom