Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ulipo ndio panakufaa kwa kozi uliyosoma.JOSEPH JOHN,
C/O AMINA T,
PO BOX 9182,
DAR ES SALAAM,
18 February 2011.
REF: APPLICATION FOR THE POST OF LOAN OFFICER/BANK TELLER
I am a Tanzanian Citizen aged 26 years and not married. I have completed Bachelor of Arts in Geography and Environmental studies at University of Dodoma in June 2010.
I am applying for the post of Loan Officer/Bank teller in your company. Currently I am working at Tanzania Meteorological agency (TMA) as a volunteer Dar es salaam station
I am a committed and a hard working person multidisciplinary person with great autonomy and responsible person.
It is my expectations that my request will be considered.
Yours faithfully
JOSEPH JOHN
kabla ya kusoma inabidi ujiulize utafanya kazi gani baadae!!
thx coza, nna bsc. Home economics and human nutrition
Habari wakuu,
jamani hebu nisaidieni natafuta kazi hizo hapo juu. Nina degree.
Thanks.
Hapana mkuu said:hapana naamini hana nia hiyo ila huyu si mpenda rushwa na mishahara haitoshi ila hapa kuna "keep change" za hapa na pale!
Jamani, misahafu inasema kuwa, siku za mwanadamu ni miaka 70 na akiishi sana 80. Hivi mnajua tuko karne ya 21 na bado miaka kadhaa iishe, ila kwa kunukuu sentensi hiyo hapo juu, ni lazima wote tuishie kwenye karne hii. Hivi unaanda vipi maisha yako kwa ajili ya baadae? au una mawazo gani? jaribu kukaa na kutafakari sana, mimi inaniuma sana. asante
inapaswa tujifunze isije tokea kwa watoto wetu.ni muhimu tuwawezeshe wajitambue mapema.hii itawasaidia wajue wanataka kuwa nani hapo baadaye.huyu jamaa wa SUA, kama alisoma kuondoa ujinga tu, bila ya kuwa na malengo,mbona anataka kazi ya u-bank taller/loan officer..si angelitaka kazi yeyote pia...ni kweli mambo huwa yanabadilika. Tunafanya kazi tofauti na tuliyosomea au tunasoma ambayo hatukuyataka.
Usimind anyway.
Good day.
Jamani, misahafu inasema kuwa, siku za mwanadamu ni miaka 70 na akiishi sana 80. Hivi mnajua tuko karne ya 21 na bado miaka kadhaa iishe, ila kwa kunukuu sentensi hiyo hapo juu, ni lazima wote tuishie kwenye karne hii. Hivi unaanda vipi maisha yako kwa ajili ya baadae? au una mawazo gani? jaribu kukaa na kutafakari sana, mimi inaniuma sana. asante
mkuu Job K,nami nina degree kama ya huyo dada, niko tayar kwenda wilaya yeyote,nipm mkuu,tusaidianeTuma maombi yako kwenye halmashauri za wilaya achana na kukimbilia Bank Teller/Loan Officer wakati wewe ni mama wa Lishe. Kule Halmashauri unaweza kuomba kufanyakazi ya Community development officer II naamina itakufaa tu mpaka hapo utakapoamua kwenda Masters. Je! Hauchagui wilaya nikuambie ni wilaya gani nikuunganishe an DCDO wa huko?