heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kweli uchawi upo duniani !!Dogo game imemkubali. Hongera zake
Sent via EyePhone
Ha ha ha umesahau rick ross alitucharge 120,000 usd kwa 45 minutes show, plus 5 star hotel, business class round trip ticket with his team mates plus insurance...
Na mwisho kabisa hiyo ni per east african rate alitufanyia bei rahisi tu...
Huyo million 10 tu na kukata mauno yote wakati masela wanalipwa mara 20 yake na benefits kibao
Kwa nini unahusisha malipo ya mtu na chuki za wengine??Bank ya CBA yamlipa dimond
platinum milioni10!! (ambacho ndicho kiwango chake kwa kila show)kutumbuiza
kwa nusu saa katika tafrija yao usiku wa junamosi iliyopita
kaz kwenu wenye chuki zenu na wivu
watanzania ni vigumu kabisa kuwaelewa
mala mumponde diamond leo full kusifia
hamueleweki isee
yaani siku moja mtu anapata ten million! nimeanza kumlisha mwanangu tangawizi, lazima kieleweke.
Kwa nini unahusisha malipo ya mtu na chuki za wengine??
Usiwe na negative thought juu ya maswala ya ushabiki.
Yani sioni haja ya wewe kupambana na haters wa diamond.
Weka habari then kuwa na positive thinking hakuna haja ya wewe kuwa na prejudice juu ya mapokeo ya walimwengu kuhusu habari husika.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums