Bank ya CBA wamlipa diamond ten million

Bank ya CBA wamlipa diamond ten million

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Bank ya CBA yamlipa dimond
platinum milioni10!! (ambacho ndicho kiwango chake kwa kila show)kutumbuiza
kwa nusu saa katika tafrija yao usiku wa junamosi iliyopita
kaz kwenu wenye chuki zenu na wivu
 
Dogo game imemkubali. Hongera zake

Sent via EyePhone
 
Ha ha ha umesahau rick ross alitucharge 120,000 usd kwa 45 minutes show, plus 5 star hotel, business class round trip ticket with his team mates plus insurance...

Na mwisho kabisa hiyo ni per east african rate alitufanyia bei rahisi tu...

Huyo million 10 tu na kukata mauno yote wakati masela wanalipwa mara 20 yake na benefits kibao
 
Acha a-shine like a diamond....dogo ni entertainer!
 
Ha ha ha umesahau rick ross alitucharge 120,000 usd kwa 45 minutes show, plus 5 star hotel, business class round trip ticket with his team mates plus insurance...

Na mwisho kabisa hiyo ni per east african rate alitufanyia bei rahisi tu...

Huyo million 10 tu na kukata mauno yote wakati masela wanalipwa mara 20 yake na benefits kibao

yule ni rick ross..msanii wa kimataifa..na huyu ni diamond,msanii wa kitaifa na ki-east africa
ushaiona tofaut?
 
watanzania ni vigumu kabisa kuwaelewa
mala mumponde diamond leo full kusifia
hamueleweki isee
 
Nini diamond wakati Juma nature analipwa m50 kwa show
 
Bank ya CBA yamlipa dimond
platinum milioni10!! (ambacho ndicho kiwango chake kwa kila show)kutumbuiza
kwa nusu saa katika tafrija yao usiku wa junamosi iliyopita
kaz kwenu wenye chuki zenu na wivu
Kwa nini unahusisha malipo ya mtu na chuki za wengine??
Usiwe na negative thought juu ya maswala ya ushabiki.
Yani sioni haja ya wewe kupambana na haters wa diamond.
Weka habari then kuwa na positive thinking hakuna haja ya wewe kuwa na prejudice juu ya mapokeo ya walimwengu kuhusu habari husika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
yaani siku moja mtu anapata ten million! nimeanza kumlisha mwanangu tangawizi, lazima kieleweke.

Unapigaje mahesabu Mkuu? Ingekuwa ni hivyo si kila mtu angekuwa tajiri wa siku moja. Mahesabu yanaanzia alipoanza kujiandaa kuingia kwenye game ndo CBA wakamuona. Lakini ni kweli Dimond anastahili kusifiwa maana umri na life alotokea sasa hivi anatengeneza
 
Kwa nini unahusisha malipo ya mtu na chuki za wengine??
Usiwe na negative thought juu ya maswala ya ushabiki.
Yani sioni haja ya wewe kupambana na haters wa diamond.
Weka habari then kuwa na positive thinking hakuna haja ya wewe kuwa na prejudice juu ya mapokeo ya walimwengu kuhusu habari husika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu msome hapo delusions juu yako ndo utajua wivu upo, yaani jamaa hataki kusikia ameamua kumweka Nature ilikhali anajua kwa sasa anapumulia hakuna kulala
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini unahusisha malipo ya mtu na chuki za wengine??
Usiwe na negative thought juu ya maswala ya ushabiki.
Yani sioni haja ya wewe kupambana na haters wa diamond.
Weka habari then kuwa na positive thinking hakuna haja ya wewe kuwa na prejudice juu ya mapokeo ya walimwengu kuhusu habari husika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

unabusara sana mkuu.
 
watanzania ni vigumu kabisa kuwaelewa
mala mumponde diamond leo full kusifia
hamueleweki isee

Sikia nikwambie mkuu tunajua kuwa unampend sana diamond but usilazimishe kila mtu aungane na fikra zak kumpend mt au kumchukia hizo ni tabia za mtu mmoja mmoja, na huwez kuzizuia, mbona kuna wasanii wakubwa sana kimataifa kama michael jackson alipendwa sana but co dunia nzima kuna baadh ya wat walikuw wanamchukia pia, so sio lazma wat wte kumpend diamond pamoja na mzik wke, ndio anafanya vzur but sio lazma kupendwa na wat wote na katika mafanikio ya binadamu lazma achukiwe na watu ili aifanye kaz yak kwa bidii huku akidhan kuwa akiharb atachekwa na kubezwa na wabaya zake

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom