Bank ya NBC mitambo yake ina kwikwi

Bank ya NBC mitambo yake ina kwikwi

Jamani vp hawa Exim bank huduma zao zikoje?

exim ukitoa hela kwenye unakatwa shilingi 100, monthly charge ni sh.300
ukichukua mkopo interest 24%
huduma zao faster, hamna foleni ATM hata usiku unapata hela
 
Njoo Stanbic, mie miaka 5 sasa, kutuma hela nje, kupokea, safi tu, Visa card unachukua ktk ATM za NBC, CRDB nadhani na Barclays (ila sijajaribu) ingawa Branches ni Dar, Mwanza, Arusha na Moshi, hivyo inakuwa accessible karibu nchi nzima.
Kwakweli hizo withdrawal charges ndo sijacheck ni ngapi, ila monthly charges kubwa bila taarifa kama Barclays sijawahi ona. Foleni sio sana labda Pamba House mwisho wa mwezi kuweka hasa mchana, lakini vinginevyo hamna shida yoyote kwa miaka hiyo 5. karibu.
 
Yo Yo, hiyo signature inatudhalilisha watanzania ukiwa mmojawapo. Au ushaukana uraia mkuu? Au huna akili kweli mpwa? Wenye akili wakenya?
tehe tehe lakini mkuu si ukweli nimechoka na mitanzania.....natafutaa shori wa kisomali anipe mkoba wa somalia....

Hizi institutions kubwa zina 'wataalam' wa IT wenye Masters degree na hawa ndo huwashauri staff maofisini kuondoa Windows Vista Ultimate kwenye laptop zao na kuweka Win XP ili laptop zao ziwe compatible na programs hizo za miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000.

Antivirus wanazotumia kwenye servers hata kueleza hapa aibu
hizo masters watakuwa wamechukua Mecca au vatican....bwa ha ha ha hilo red bolded nishasikia sana....hebu waambie mie mbumbumbu naweza kuwapa ushauri wa bure.........
 
Last week nilitumia ATM za NBC ku-draw fedha kutumia VISA CARD ya CRDB ikagoma kutoa nikaenda kwenye ATM ya CRDB ikakubali but inaonyesha wamekata fedha amabzo nilitaka ku-draw kwenye ATM ya NBC .Nikaenda CRDB Mlimani City nimeambiwa niandike CLAIM LETTER wafuatili NBC
Hizi benki za Tanzania zote miyeyusho
 
Same stuff, CRDB kuna skendo likiibuka wengi mtafunga akaunti zenu!

Kazi tunayo, katika benki inayosifika TZ kwamba inakuwa vizuri ni CRDB. Ama yanakuwa yale ya Meridian Biao Bank (Sukari House) enzi zile.
 
Back
Top Bottom