Bank yenye NPL kubwa Tanzania

Bank yenye NPL kubwa Tanzania

trigger

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
95
Reaction score
25
wadau kwa maelezo ya msajili wa hazina kama nipo wrong nisahihishwe kasema kuna bank ina Non performing Loan kama ya billion mia nne,je ni bank gan na kama kuna mtu ana orodha ya bank zote tanzania NPL zao aiweke humu tujue
 
billion mia nne npl?
wakiweke kwenye default hyo benk si itakufa mkuu?
kwanza capital ya hyo bank NI SH NGAPI? hela nyingi sana hyo mkuu
 
Taarifa za wateja,ni siri ya benki na mteja
 
billion mia nne npl?
wakiweke kwenye default hyo benk si itakufa mkuu?
kwanza capital ya hyo bank NI SH NGAPI? hela nyingi sana hyo mkuu
mi nadhan kuna haja ya kupitia zile balance sheet za bank ambazo zimedeclare loss japo naic kuna kuficha hzo npl kwa ajil ya shareholders
 
Taarifa za wateja,ni siri ya benki na mteja
hapo tunaongelea balance sheet za bank ambazo kwa zote ambazo ni plc must wa publish public,hatujasema nani yupo katika hzo npl
 
Back
Top Bottom