Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nadhan kuna haja ya kupitia zile balance sheet za bank ambazo zimedeclare loss japo naic kuna kuficha hzo npl kwa ajil ya shareholdersbillion mia nne npl?
wakiweke kwenye default hyo benk si itakufa mkuu?
kwanza capital ya hyo bank NI SH NGAPI? hela nyingi sana hyo mkuu
hapo tunaongelea balance sheet za bank ambazo kwa zote ambazo ni plc must wa publish public,hatujasema nani yupo katika hzo nplTaarifa za wateja,ni siri ya benki na mteja
nimeleta huu humu baada ya kumsikia mkuu janabillion mia nne npl?
wakiweke kwenye default hyo benk si itakufa mkuu?
kwanza capital ya hyo bank NI SH NGAPI? hela nyingi sana hyo mkuu