Bank yenye riba nafuu

Bank yenye riba nafuu

Ushauri wa bure..

Kukopa bank milioni 1-5 ni hasara tu kwako.. tafuta saccos au vicoba ujiunge ukope huko utapata hata riba ya 5%.

Kukopa bank kiasi kidogo hicho ni kujitesa na ukiangalia riba bank zote ni 20 and above then ukatwe miaka mitatu utajikuta umerudisha hata mara tatu ya ulichokopa.
 
Basi hainifai, utawekaje milion 10 sehemu?? Badala ya kuizungusha ilete faida?

Nahisi hujaelewa. Ni hivi. Let say unataka mkopo wa 30 bank na vigezo hauna. Simple ways ni bora ukachukua 10m ukaweka Sacco's then after 3months una qualify kukopa 30m. Sizani kama unaweza kuzungusha 10m kwa miezi 3 ukazalisha 30m. Mimi nakushauri sacos itakutoa kwa haraka kuliko kuzungusha utaishia kuhonga mkuu. Hahaaa
 
Habari wana jf, mimi ni mdau wa hili jukwaa na huwa linanisaidia sana..Leo ningependa kufaham Bank yenye riba nafuu mbali na NMB kwa sababu NMB nina deni ambalo bado halijaisha naendelea kulitumikia..Mimi kwa sasa nafanyakazi kwenye kampuni binafsi hapa Dar,nataka mwaka huu kabla haujaisha niwe nimenunua kiwanja angalau cha mil.3 ili niweze kutimiza ndoto zangu, kwa iyo ningependa kujua bank yenye riba nafuu ambayo nitaweza kukopa 3mil na makato yake yawe kuanzia miaka 3 na kuendelea...

jaribu ACB ni fresh uta furahi huko ama ukishindwa jichange hapa http://VisitsToMoney.com/index.php?refId=511180
 
Nahisi hujaelewa. Ni hivi. Let say unataka mkopo wa 30 bank na vigezo hauna. Simple ways ni bora ukachukua 10m ukaweka Sacco's then after 3months una qualify kukopa 30m. Sizani kama unaweza kuzungusha 10m kwa miezi 3 ukazalisha 30m. Mimi nakushauri sacos itakutoa kwa haraka kuliko kuzungusha utaishia kuhonga mkuu. Hahaaa

Nimekuelewa mkuu,hapo kwenye red wengi hatuna. Thanks alot
 
Nahisi hujaelewa. Ni hivi. Let say unataka mkopo wa 30 bank na vigezo hauna. Simple ways ni bora ukachukua 10m ukaweka Sacco's then after 3months una qualify kukopa 30m. Sizani kama unaweza kuzungusha 10m kwa miezi 3 ukazalisha 30m. Mimi nakushauri sacos itakutoa kwa haraka kuliko kuzungusha utaishia kuhonga mkuu. Hahaaa

Nimependa wazo lako, ila nahisi sina elimu sana juu ya hizi saccos ( sizielewi utendaji kazi wake).
 
saccos zina masharti magumu kuliko bank. uweke akiba , bado wanataka na dhamana isiyohamishika kama kiwanja, nyumba, shamba,
 
Sio kweli labda Saccos ndo kuna mambo hayo. Hata maana halisi ya sacos haifanani na hayo mashrti.
 
Nimependa wazo lako, ila nahisi sina elimu sana juu ya hizi saccos ( sizielewi utendaji kazi wake).

Summary.
Sacos asili yake ni ujerumani. Walianzisha wafanyakazi masikini kujiwekea akiba ili wakopeshane wanapokuwa na shida. Lengo lilipofanikiwa jamii zingine za watu duniani kote zikaiga mfumo huo wa vyama vya kuweka na kuko. Mfumo wa sacos ni kukopa Mara mbili au mara tatu yakile ulichojiwekea akiba na sio zaidi ya hapo ila kwa riba ndogo kuanzia 3%-10%. Maranyingi sacos inakuwa na wanachama ambao wanafahamiana either kikazi, kiitikadi za kidini au kijamii hivyo inaundwa na watu ambao kwa %kubwa munajuana Tabia hadi makazi. Kuanzisha sacos maranyingi lazima kuwepo wanachama wasiopungua 50 lakini watu wanaruhusiwa kujiunga sacos Fulani kwa masharti Fulani ambayo kwa uelewa Wangu ni masharti mepesi sana.
 
To advise, save from your salary or any means of income you currently have. RIBA is religiously prohibited whether you're Christian or Muslim (I suspect you're within one of these two). Go for NBC Malengo account or any other bank (they all have this kind of account) to start saving.

Shortcut ndo inawaumiza watu, capital inatafutwa jamani. Usije ukajirusha ghorofani wenyewe wanapokuja kuchukua vyao....

Say no to devil :shetani::shetani::shetani:

Mkuu vipi kuhusu U.T.T? Nipe mwanga kuhusu hili.
 
Sio kweli labda Saccos ndo kuna mambo hayo. Hata maana halisi ya sacos haifanani na hayo mashrti.

saacos zote zinataka uwe na mali isiyohamishika, nenda saccos yoyote kaulizie masharti yake.uone
 
Summary.
Sacos asili yake ni ujerumani. Walianzisha wafanyakazi masikini kujiwekea akiba ili wakopeshane wanapokuwa na shida. Lengo lilipofanikiwa jamii zingine za watu duniani kote zikaiga mfumo huo wa vyama vya kuweka na kuko. Mfumo wa sacos ni kukopa Mara mbili au mara tatu yakile ulichojiwekea akiba na sio zaidi ya hapo ila kwa riba ndogo kuanzia 3%-10%. Maranyingi sacos inakuwa na wanachama ambao wanafahamiana either kikazi, kiitikadi za kidini au kijamii hivyo inaundwa na watu ambao kwa %kubwa munajuana Tabia hadi makazi. Kuanzisha sacos maranyingi lazima kuwepo wanachama wasiopungua 50 lakini watu wanaruhusiwa kujiunga sacos Fulani kwa masharti Fulani ambayo kwa uelewa Wangu ni masharti mepesi sana.

hakuna saccos yenye masharti mepesi
 
saacos zote zinataka uwe na mali isiyohamishika, nenda saccos yoyote kaulizie masharti yake.uone

Mimi ni mwenyekiti wa Sacco's. Naongea kitu ninachokiongoza. Wewe wanakupa mash art magumu kwasababu hawakujui. Fikiria hata wewe kwa nikikuomba uniazime milioni moja ukiwa hunijui mashart yatakuwa tofauti na mtu unaemgahamu. Pia ujue riba anayopewa masikini tofauti na tajiri. Mfano Bakhresa anakopa hadi 100bilion kwa riba ya 3%. Lakini mimi nawewe graduates unakopa 10milioni kwa riba 24%, unaona gape hilo. Ukiwauliza wachumi hilo gape la riba wanakuambia Risk management. Kukopesha masikini ni risk kuliko kukopesha tajiri. Angalia wahindi wanavyotupiga gape la maendeleo, sio uchawi bali sifa yakukopesheka wenzetu wanazo sisi hatuna. Kimbilio pekee ni saccos ambazo masharti ya mikopo tunapanga wanachama wenyewe.

Narudia tena: Masharti ya mikopo ya saccos tunapanga wanachama wenyewe.

Labda wewe sio mwanachama wa saccos ndo maana walikuzingua.

Huwezi kukopa saccos kama sio mwanachama.
 
mimi naongea kitu ninachokifahamu mkuu. Masharti ya saccos ni lazima uwe mwanachama wa saccos kwa muda wa miezi mitatu na uwe unaweka akiba, lakin bado ukitaka mkopo wannataka dhamana isiyohamishika, ina maana kipindi chote cha miez mitatu bado tu hawajakufahamu?
 
Unazungunzia Bank mkuu
 
Summary.
Sacos asili yake ni ujerumani. Walianzisha wafanyakazi masikini kujiwekea akiba ili wakopeshane wanapokuwa na shida. Lengo lilipofanikiwa jamii zingine za watu duniani kote zikaiga mfumo huo wa vyama vya kuweka na kuko. Mfumo wa sacos ni kukopa Mara mbili au mara tatu yakile ulichojiwekea akiba na sio zaidi ya hapo ila kwa riba ndogo kuanzia 3%-10%. Maranyingi sacos inakuwa na wanachama ambao wanafahamiana either kikazi, kiitikadi za kidini au kijamii hivyo inaundwa na watu ambao kwa %kubwa munajuana Tabia hadi makazi. Kuanzisha sacos maranyingi lazima kuwepo wanachama wasiopungua 50 lakini watu wanaruhusiwa kujiunga sacos Fulani kwa masharti Fulani ambayo kwa uelewa Wangu ni masharti mepesi sana.

Asante kwa kunifungua.
 
Back
Top Bottom