bank zetu haziko security kabisa BOT wapi wamepata access yakuchukua Pesa zote??

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Twende kwenye mada

Moderator naomba huu uzi umsiiunganishe na uzi ule wamwanzo

Issue iliyomkuta kijana mwenzetu mpambanaji Mr kuku kiukweli alijipanga Sana kuakikisha anafikia malengo yake lkn sheria ambayo haina faida yoyote kwake imemfilisi

Watu walikua wanatoa Pesa in cases baada ya muda anawarudishia na faida juu hii sio' DEC Wala Upatu nimaradi uliokua unafanyika nakila mwana hisa anaingia mkataba na company ya ufugaji ndani ya siku wanakula faida zao.. hapa UHUJUMU UCHUMI UKO WAPI?? mm sio nguli wa sheria lkn jamaa wamem'bania

Bank Bank Bank dah kwanini mnatoa access control za wateja wenu Yani kirahisi tu....sitaki kusema mengi kwenye hili..

TEAM 666
 
Yaani mpaka inafika 5B ndio wanamfungia. Wakijua kuwa zitaenda serikalini baada ya kesi
Jamaa angeshtukia mchongo mapema angeziamisha aisee

Angezipeleka Kenya tu Wala asiende nazo mbali BOT wasingepewa access
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
From hero to zero
Screenshot_20201217-172242.jpg
 
Yaani mpaka inafika 5B ndio wanamfungia. Wakijua kuwa zitaenda serikalini baada ya kesi
Hiyo ni DECI tu iliyojificha kwenye mradi Wa kuku. Katika miradi kumi ya Biashara ni nusu itakuwa endelevu. Nusu nyingine wangepata hasara na wangeshindwa kumlipa Mr kuku, naye angeshindwa kuwalipa in the near future. Hata mwanzilishi itakuwa alilenga ndani ya miaka 3 angekuwa na mabilioni zaidi ya hayo na kampuni ingefungwa na watu wangekula hasara. Watanzania tunapenda njia za mkato kwenye mafanikio, nazo hazipo. Kama Finca,vicoba na nyigine zilizokuwa na muundo unaojulikan itakuwa huyo Mr Kuku na briefcase company yake ? Ni jukumu LA BOT kuangalia usalama Wa fedha za wananchi wala hakuna kosa hapo. Hujasikia beki nyingi tu kwa miaka 20 zilifungwa na BOT kwa manufaa ya wananchi walioweka humo benki husika?
 
Bot wapigaji tu hapa wamepigaa.

Izo B5 walitakiwa warudishe kwa Investment waliowwkeza Pesa zao lkn walichokifanya niusanii
 
Hiyo ni DECI tu iliyojificha kwenye mradi Wa kuku. Katika miradi kumi ya Biashara ni nusu itakuwa endelevu. Nusu nyingine wangepata hasara na wangeshindwa kumlipa Mr kuku, naye angeshindwa kuwalipa in the near future. Hata mwanzilishi itakuwa alilenga ndani ya miaka 3 angekuwa na mabilioni zaidi ya hayo na kampuni ingefungwa na watu wangekula hasara. Watanzania tunapenda njia za mkato kwenye mafanikio, nazo hazipo. Kama Finca,vicoba na nyigine zilizokuwa na muundo unaojulikan itakuwa huyo Mr Kuku na briefcase company yake ? Ni jukumu LA BOT kuangalia usalama Wa fedha za wananchi wala hakuna kosa hapo. Hujasikia beki nyingi tu kwa miaka 20 zilifungwa na BOT kwa manufaa ya wananchi walioweka humo benki husika?
Mimi ndo nawauliza watu wengi ambao hawaamini kama ile ilikua Pyramid( Lazima icollapse)

Dogo alishakusanya bil 17 ila BoT wamefanikiwa kupata Bill 5.4 tu zingine ziko wapi?

Ilitegemewa kama ni kampuni endelevu ingekua na zaidi ya hizo 17. Ndo ilikua inaelekea kuzama tayari
 
Idea ya mr kuku ni nzur na ilikuwa bora sana na tuwe wakweli ingefanikiwa kama asingeingiwa na tamaa

Tatizo lililompata ni yeye kukusanya pesa ya watu ikazid uwezo wa kazi anayoifanya

Mradi wa 500m ye akakusanya bil 17 ndo maana ilianza kuwa ngumu kuwarejeshea watu pesa mpk kelele zikaanza za utapeli

Ila angefanya ule mradi kulingana na mtaji halisi wala kusingekuwa na haya yote

Tusisahau alinunua gari mil 450m[emoji2957]
 
Una vijisenti vyako benki hamisha haraka sana kama Serikali haijakupora Oooops nilitaka kuandika majambazi.
Twende kwenye mada

Moderator naomba huu uzi umsiiunganishe na uzi ule wamwanzo

Issue iliyomkuta kijana mwenzetu mpambanaji Mr kuku kiukweli alijipanga Sana kuakikisha anafikia malengo yake lkn sheria ambayo haina faida yoyote kwake imemfilisi

Watu walikua wanatoa Pesa in cases baada ya muda anawarudishia na faida juu hii sio' DEC Wala Upatu nimaradi uliokua unafanyika nakila mwana hisa anaingia mkataba na company ya ufugaji ndani ya siku wanakula faida zao.. hapa UHUJUMU UCHUMI UKO WAPI?? mm sio nguli wa sheria lkn jamaa wamem'bania

Bank Bank Bank dah kwanini mnatoa access control za wateja wenu Yani kirahisi tu....sitaki kusema mengi kwenye hili..

TEAM 666
 
Twende kwenye mada

Moderator naomba huu uzi umsiiunganishe na uzi ule wamwanzo

Issue iliyomkuta kijana mwenzetu mpambanaji Mr kuku kiukweli alijipanga Sana kuakikisha anafikia malengo yake lkn sheria ambayo haina faida yoyote kwake imemfilisi

Watu walikua wanatoa Pesa in cases baada ya muda anawarudishia na faida juu hii sio' DEC Wala Upatu nimaradi uliokua unafanyika nakila mwana hisa anaingia mkataba na company ya ufugaji ndani ya siku wanakula faida zao.. hapa UHUJUMU UCHUMI UKO WAPI?? mm sio nguli wa sheria lkn jamaa wamem'bania

Bank Bank Bank dah kwanini mnatoa access control za wateja wenu Yani kirahisi tu....sitaki kusema mengi kwenye hili..

TEAM 666
Tujue bank gani tui-sandeeeee
 
Hiyo ni DECI tu iliyojificha kwenye mradi Wa kuku. Katika miradi kumi ya Biashara ni nusu itakuwa endelevu. Nusu nyingine wangepata hasara na wangeshindwa kumlipa Mr kuku, naye angeshindwa kuwalipa in the near future. Hata mwanzilishi itakuwa alilenga ndani ya miaka 3 angekuwa na mabilioni zaidi ya hayo na kampuni ingefungwa na watu wangekula hasara. Watanzania tunapenda njia za mkato kwenye mafanikio, nazo hazipo. Kama Finca,vicoba na nyigine zilizokuwa na muundo unaojulikan itakuwa huyo Mr Kuku na briefcase company yake ? Ni jukumu LA BOT kuangalia usalama Wa fedha za wananchi wala hakuna kosa hapo. Hujasikia beki nyingi tu kwa miaka 20 zilifungwa na BOT kwa manufaa ya wananchi walioweka humo benki husika?
Kwa hiyo pesa za wananchi watarudushiwa wananchi
 
Back
Top Bottom