Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

SGD pekee inamalizana na huo umeme mliofua tangu Kenya ipate uhuru
Lakini umeme huo wote mtaupeleka wapi? Hata kama SGR itatumia umeme Bado ukijumuisha na demand yenu mtabaki na surplus kubwa. Mtabakia na losses tu kwa sababu ya SGD kuwa idle. Your demand is <1500MW
 
Unamletea nani page iliyoko unavailable, unalazimisha sana Tz kuna njaa utafikiri umeileta, ww ni wa kupuuzwa
 
Sasa inafaida gani mchague wabunge na madiaani...kuzunguka vijijini haimaanishi km wewe ni rais bora...rais bora ni yule ambaye ana mikakati wala haamki na kufanya maamuzi ya kiwehu...hujajiuliza ya kwamba govt funds anazitumiaje..je anakurupuka au la...

Halafu kwenda hko vijijini ni km ku waste time..naona jamaa wanalazimishwa kuchangia shule...hku wengine wakipewa mic waeleze shida zinazowakumba, unakuta li mtu linashika mic na kuanza kumsifu...kwel vilaza ni wengi tanzania...eti "mheshimiwa magufuli,wakati wa compaign usije, we leta picha yako tu kura umeshapata" eti hzo ndio shida ameeleza
 
Unajua unachokiongea...heheee...naona umekwepa famous site...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kingereza kingi hku ukitapa tapa..mara kq mara port...nilikwambia kitambo wacha story za vijiweni
 
tatizo lako unatoa majibu kishabiki: so hauoni umuhimu wa raisi kwenda kutembelea wananchi wake na kuskiliza kero zao haswa? we unaona ni vema kukaa ofisini wakati wananchi wako wanakufa kisa kuna mbunge? uko sawa upstairs?
 
Hv ni kuulize...unaiponda kq na wakati wana share precious air...halafu nataka uje unieleze port ya kenya inamilikiwa na nani mwngine km si 100% kw GOK
 
huna point bro: the last time we are telling you we dont need reports zenu, fanya mpango ugombee ubunge usaidie wananchi wako
 
Bro unapingana na uhalisia?
Unajua unachokiongea...heheee...naona umekwepa famous site...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kingereza kingi hku ukitapa tapa..mara kq mara port...nilikwambia kitambo wacha story za vijiweni
 
Hv ni kuulize...unaiponda kq na wakati wana share precious air...halafu nataka uje unieleze port ya kenya inamilikiwa na nani mwngine km si 100% kw GOK

kwan precion air ni government owned?? thats a private insitution ata wakimiliki watu laki moja ni bussiness model yao, ila kwenye shirika ambalo linatakiwa kufaidisha wananchi lazma lishikiliwe na serikali ni sawa sawa nchi yenu alafu washikilie watu wengine, what type of ignorance is that
 
Hyo ya denial inakutosha mzee baba...wacha kutema povu...huoni ya kwamba tayari unapinga..sasa hvyo ndivyo serikali yenu ilivyo aisee
Unamletea nani page iliyoko unavailable, unalazimisha sana Tz kuna njaa utafikiri umeileta, ww ni wa kupuuzwa
 
Sasa anaenda kuskiliza kero au sifa..kila anayepewa mic..ana mwaga sifa...kwn wanamuogopa nn..halafu ukimvheki anayempamba kacharara kishenzi..lkn bado ywajiona hana matatizo bora asifu tu
tatizo lako unatoa majibu kishabiki: so hauoni umuhimu wa raisi kwenda kutembelea wananchi wake na kuskiliza kero zao haswa? we unaona ni vema kukaa ofisini wakati wananchi wako wanakufa kisa kuna mbunge? uko sawa upstairs?
 
Hyo ya denial inakutosha mzee baba...wacha kutema povu...huoni ya kwamba tayari unapinga..sasa hvyo ndivyo serikali yenu ilivyo aisee

and its his right kupinga cause hajawahi come across cases kama izo, infact the country is full of food to an extent its selling to its neighbours and donating too, so he has the right to say that: you dont have the right to say anything cause aljazeera have been alerting you guys for 5 years sraight on these dangers and hamkuskia, na leo tunawalert tena fix your country: future isnt promising
 
Niletee hyo mmiliki mwengine wa port kenya..namsubiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…