Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

Al-jazeera my foot...nikikuletea ripoti ya tanzania kutoka al-jazeera utaikubali
 
Umeelewa lkn nilichoandika, embu fungua hiyo link yako sijui umeiokota wapi, huna ata aibu kusema Tz kuna njaa, au kila kitu unafanya mashindano
Hyo ya denial inakutosha mzee baba...wacha kutema povu...huoni ya kwamba tayari unapinga..sasa hvyo ndivyo serikali yenu ilivyo aisee
 
Ukwel wauma siku zote

si kwel kwan uongo: ukwel unauma, ukwel si unajua life ilivo kwenu, (go help your fellow kenyans), we dont need starving cases in such a strong economy, we arent happy to hear kua kumbe ela yenu ni over 30% excess:we need to have role models ukiskia a strong economy unakua inspired, am done explaining over and over: and no one should reply to this creature hajui anaongea nn
 
Umekielewa kweli ulichokileta...[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]so GOK wanamiliki percentage ngapi na hao wengine ni wa kina nani na wanamiliki asili mia ngapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
 
Jst go and sleep dude...do you think you are here to play with kindergarten kids
...

 
 
 
Hao wameshapata usaidizi mzee baba.
Je vp wa Turkana kule

Walipata usaidizi maana ilianikwa, lakini visa ambavyo vimefichwa ni vingi, media zenu huwa zimeganda, hawahoji chochote wapo wapo tu, kazi yao kung'ang'ania vipesa vya kutupiwa na Irene Uwoya. Mambo ya Turkana huwa yanafahamika maana media zetu ni moto moto, hawafichi chochote.
Tanzania albino wanaliwa na kunyofolewa viungo, wwatoto wanachnjwa kwa ajili ya ushirikina wa kijinga, lakini haisemwi, hadi pale media za kimataifa zitatangaza ndio itasikika.
 
Zilipendwa
 
Halafu huyo jamaa bro mgonjwa wa akili kweli.
Kumbe mdogo wao wa mwisho ndio ala kinyesi cha mbuzi??
Na wanavyoelezea ni kwamba kaka yao huangaika kutafuta mapapai ili wale.
Anapokuwa ktk mahangaiko mdogo mtu hushindwa kuvumilia hula kinyesi cha mbuzi.
Mpk kaka ataporudi waletea mapapai.
Na hyo ni familia moja tuuu,nilidhani kijiji kizima au mkoa mzima km ilivyo kanda nzima ya Turkana!!!
Bongo bado hatuna maisha ngumu km ya Kenya Turkana area.
Hawa watu atleast wame reflect kidoogo hali ya maisha ya kibera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…