Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

Al-jazeera my foot...nikikuletea ripoti ya tanzania kutoka al-jazeera utaikubali
and its his right kupinga cause hajawahi come across cases kama izo, infact the country is full of food to an extent its selling to its neighbours and donating too, so he has the right to say that: you dont have the right to say anything cause aljazeera have been alerting you guys for 5 years sraight on these dangers and hamkuskia, na leo tunawalert tena fix your country: future isnt promising
 
Umeelewa lkn nilichoandika, embu fungua hiyo link yako sijui umeiokota wapi, huna ata aibu kusema Tz kuna njaa, au kila kitu unafanya mashindano
Hyo ya denial inakutosha mzee baba...wacha kutema povu...huoni ya kwamba tayari unapinga..sasa hvyo ndivyo serikali yenu ilivyo aisee
 
Ukwel wauma siku zote

si kwel kwan uongo: ukwel unauma, ukwel si unajua life ilivo kwenu, (go help your fellow kenyans), we dont need starving cases in such a strong economy, we arent happy to hear kua kumbe ela yenu ni over 30% excess:we need to have role models ukiskia a strong economy unakua inspired, am done explaining over and over: and no one should reply to this creature hajui anaongea nn
 
Umekielewa kweli ulichokileta...[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]so GOK wanamiliki percentage ngapi na hao wengine ni wa kina nani na wanamiliki asili mia ngapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
Kenya Ports Authority is an investor in Kenya National Shipping Line, a state corporation of Kenya formed in 1989, currently owned by KPA and three non-Kenyan corporate investos.[5]
https://en.wikipedia.org/wiki/Kenya_Ports_Authority

non kenyan:::: come on guys, mnashindwa nn kushikilia land yenu
 
Jst go and sleep dude...do you think you are here to play with kindergarten kids
...

si kwel kwan uongo: ukwel unauma, ukwel si unajua life ilivo kwenu, (go help your fellow kenyans), we dont need starving cases in such a strong economy, we arent happy to hear kua kumbe ela yenu ni over 30% excess:we need to have role models ukiskia a strong economy unakua inspired, am done explaining over and over: and no one should reply to this creature hajui anaongea nn
 
Screenshot_2019-07-20-09-09-09.png
Mkuu sema hujui kununua usaidiwe.
 
Lakini umeme huo wote mtaupeleka wapi? Hata kama SGR itatumia umeme Bado ukijumuisha na demand yenu mtabaki na surplus kubwa. Mtabakia na losses tu kwa sababu ya SGD kuwa idle. Your demand is QUOTE]Tubachuma mbeya na madini mengi tu,umeme unahitajika sana kwa ajili ya viwanda na kumbuka SGR ni mtandao mpana...Dar hadi mwanza kwenda kigoma Apo katikaki uwekezaji lazima utafanyika...
Hata investors hupenda kuwekeza mahali kuna umeme wa uhakika
 
Lakini umeme huo wote mtaupeleka wapi? Hata kama SGR itatumia umeme Bado ukijumuisha na demand yenu mtabaki na surplus kubwa. Mtabakia na losses tu kwa sababu ya SGD kuwa idle. Your demand is QUOTE]Mahitaji yanaongezeka ,ndio maana kinyerezi power plant wanaongeza capacity kila mara...ukibaki tunauza kwa majirani hasara haiwez kua kubwa
 
Hao wameshapata usaidizi mzee baba.
Je vp wa Turkana kule

Walipata usaidizi maana ilianikwa, lakini visa ambavyo vimefichwa ni vingi, media zenu huwa zimeganda, hawahoji chochote wapo wapo tu, kazi yao kung'ang'ania vipesa vya kutupiwa na Irene Uwoya. Mambo ya Turkana huwa yanafahamika maana media zetu ni moto moto, hawafichi chochote.
Tanzania albino wanaliwa na kunyofolewa viungo, wwatoto wanachnjwa kwa ajili ya ushirikina wa kijinga, lakini haisemwi, hadi pale media za kimataifa zitatangaza ndio itasikika.
 
Zilipendwa

Halafu huyo jamaa bro mgonjwa wa akili kweli.
Kumbe mdogo wao wa mwisho ndio ala kinyesi cha mbuzi??
Na wanavyoelezea ni kwamba kaka yao huangaika kutafuta mapapai ili wale.
Anapokuwa ktk mahangaiko mdogo mtu hushindwa kuvumilia hula kinyesi cha mbuzi.
Mpk kaka ataporudi waletea mapapai.
Na hyo ni familia moja tuuu,nilidhani kijiji kizima au mkoa mzima km ilivyo kanda nzima ya Turkana!!!
Bongo bado hatuna maisha ngumu km ya Kenya Turkana area.
Hawa watu atleast wame reflect kidoogo hali ya maisha ya kibera
 
Back
Top Bottom