Geoffrey Eng Atkinson
Senior Member
- Mar 22, 2017
- 199
- 159
Wakenya wako obsessed na TZ. halafu utakuta wanasema eti hawana time na TZ 😀
strongest while ata kuwalisha your fellow kenyans mmehindwa?? really:: dont you know citizens ndo the country investment: i dont think amna mtu hajawahi visit kenya, the capital itself people cant handle it, polen
Wakenya wako obsessed na TZ. halafu utakuta wanasema eti hawana time na TZ 😀
Lini magufuli alilisha hta kata hko kwenu...chato yenyewe serikali yake haijailisha...sijui hko shule mnasomea nn...
Mbna jamaa mtaani wakisema maisha magumu hyo rais wenu huwaita wapiga dili...eti waenda wakafanye kazi...huaga nacheka sana nikiona mtanzania anasema mbna kenya hailishi waru wake wakati kwenu wanakula mavi...

Unafanya nn katika jukwaa la kenya
Walishwe umesikia wana njaa?
kama huna point ya msingi ya kuongea just relax bro, not everyone is interested in all these shitty words:
see your fellows are discussing very concrete issues they know whats happening
Strongest economy
Are you still waiting for IMF also
Swali sahihi la kujiuliza, habari ya Tanzania inafanya nini kwenye jukwaa la Kenya. Hilo MosiUnafanya nn katika jukwaa la kenya
Swali sahihi la kujiuliza, habari ya Tanzania inafanya nini kwenye jukwaa la Kenya. Hilo Mosi
kwan hujaona thread inahusu Tanzania:
Daaaah oya bro hapo Sudan au Somalia??
Mlitengenezewa hili jukwaa mtatue matatizo yenu ila mnaleta mada za tz: so who is obsessed with the other here
Hukunielewa mkuu, apo namjibu jamaa alieniuliza nafanya nini kwenye jukwaa la kenya ndio nikamuuliza kwani habari ya Tanzania inafanya nini kwenye jukwaa hilo? ikiwa hawataki tuijadili wasingeiweka na inaonesha kuwa wao wapo obsessed na Tanzania, mahamri hayapiti kooni kama hawajatizama kunani Tanzaniakwan hujaona thread inahusu Tanzania: