Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali


Actually, I was in favor of your opinion. Ulichoongea wewe ndiyo nilichokuwa nakipigia debe hapa as opposed to the initiator of the thread. Niliguswa na post yako kwa kiwango cha juu na ndiyo maana nikaamua kutoa indirect support kwenye post hiyo, kiasi imepelekea ukanielewa kama nilikuwa ninakupinga. Nashauri uisome tena post yangu, I'm in favor of your opinion. Uko safi, I very much liked what you posted!
 
Watuache na uchumi wetu.. hayo mambo ya mahesabu wabaki nayo huko kwako sisi uchumi wetu tunapika na kunga na pilipili kabisa.[emoji1787]
 
Alafu kuna yule mjinga anajiita sijui young nini sijui, huwa akiona Mtanzania kaleta mada ya Tz humu huwa anawatag moderator wafute au wautoe humu, hivi huu uzi ajauona [emoji23][emoji23][emoji23]
Swali sahihi la kujiuliza, habari ya Tanzania inafanya nini kwenye jukwaa la Kenya. Hilo Mosi
 
Alafu kuna yule mjinga anajiita sijui young nini sijui, huwa akiona Mtanzania kaleta mada ya Tz humu huwa anawatag moderator wafute au wautoe humu, hivi huu uzi ajauona [emoji23][emoji23][emoji23]
Unafiki umemtawala itakuwa. Wana wazimu hawa
 
Kabisa mkuu, pia Usisahau kuanzia matunda mpaka vyakula wanavyokula vinatoka Tz [emoji23][emoji23][emoji23]yaani hadi machungwa alafu wanatuita wavivu kama wao ni wachapa kazi kwann hawalimi hata machungwa
Tanzania ndo nchi iliosaidia nchi nyingi sana africa kupata uhuru, ila naona wanarudi tena kwenye colonialism
 
Hehe, coders are the bottom of the rung worst paid professionals, Jaribu sana upande cheo uwe systems analyst or designer bahati ikipatikana uwe lead dev
Coding = sweepers work
Good day, I see we are starting with an emotional high based on falsehoods. I run my own company boss that analyzes consumer insight using Artificial intelligence while helping small shops to manage their business. Now some facts, in Kenya a programmer/software engineer earns a starting salary of kshs 150,000 a month with annual increments(I have 6 programmers in my company, others are marketers and data scientists) .In the UK they earn about 100,00 pounds a year and in America they earn about $200,000 per year. That is why programmers(due to intelligence), form a significant portion of the richest people in the world i.e Bill gates(Programmed windows Os), Larry Page and sergey brin (Programmed google), Mark zuckerberg(Programmed Facebook), Rich Miner (Android). Go back to selling organges you have no idea what you are talking about.

"Last week Glassdoor published its most recent software engineering salary report. Short version: it pays to code. Google and Facebook employees earn a base salary of ~$125K, not counting benefits, 401k matching, stock options/grants, etc., and even Yahoo! developers pull in six figures. Everyone knows why: ask anyone in the Valley, or NYC, or, well, practically anywhere, and they’ll tell you that good engineers are awfully hard to find. Demand has skyrocketed, supply has stagnated, prices have risen. Basic economics. " - TechCrunch
 
BY 2018 mwaka jana mlikua na dollar Billionaire mmoja na dollar millionnaires 6,429, Sisi hatuna Billionnair lakini tunao dollar millionaires 9,482 tena tunaongoza afrika kwa ukuaji wa ma millionnairs kwa mwaka.... sasa hapo niambie ni uchumi wa nani unakua kulingana na watu???? Billionnaire mmoja na millionnair kidogo ukilinganisha na millionnair wengi bila billionnaire nani ndo ako pazuri???? Tena ukiangalia makampuni yalioko Kenya ni makubwa kuliko ya Tanzania lakini licha ya hizo kampuni kubwa kubwa bado hatuna billionnaire sababu competition ni kubwa baina ya makampuni! huko kwenu ni jamaa mmoja ndo anamiliki karibu kila kampuni kubwa zote!





Hao wakenya unaowaona huko kwenu hawajaenda kuomba omba kama vile wengi wenu mnakuja kufanya huku Kenya, Wameenda huko kusaka hela au kujivinjari na kutumia hela. Wakati wewe unajisifu kwa kuona wakenya wanatiririka huko, utakuta wakenya wanaokuja huko wanaona ni nyinyi ndo mmezubaa kwahivyo wanakuja kuchukua hizo opportunities ambazo mnaziacha zikae tu....
 

Some how you are correct but to correct you: not every coder earns that amount, there are languages that are most preffered alot more to earn even more than that, and there is a difference between a programmer and a coder: some people dont even earn $500 a month because of the field they choose, lets say you are onto design (the front end) its less likely you will even have that much but everything else you said its true, some people go even beyond the amount you mentioned: about mark, sergery , bilgates, these people arent employees after all there salary is just $1 a year
 

we are done discussing this and that , we all known millionaires apo ni wakina chandaria and rich politicians: the life of true kenya ni turkana
 
WaKenya ni wawekezaji. Sio omba omba kama wengi wa waTZ waliomo huku kwetu. Heshima IDUMU

 
Thank you for displaying the extent of your poverty. Kindly understand that if some us show you our properties and bank accounts you will cry with bitterness.
We let our money work for us, I exited the rat race longtime ago as you continue to spend sleepless nights working for some pesa nane pittance and dreading the day your clients will gorge out your balls.
Meanwhile, that was just a distraction from the issue at hand which you have run away from
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wakenya wote wanaokuja Tz wanakuja kuwekeza na watanzania wote wanakuja kenya kuwa omba omba?
WaKenya ni wawekezaji. Sio omba omba kama wengi wa waTZ waliomo huku kwetu. Heshima IDUMU

 
we are done discussing this and that , we all known millionaires apo ni wakina chandaria and rich politicians: the life of true kenya ni turkana
You seem to be quiet read than the average Tanzanian yet still you sound stupid/dumb for generalization and short sightedness. Some one pointed out herd mentality in here and it shows with your likes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…