Mkuu biashara haiko hivo usiweke hesabu as if utakuwa unakula wewe unga. Kuna kodi hapo kibao tu TRA, TFDA, Mazingira plus plus hali ya soko, kupanda kwa bei ya mahindi, wafanya kazi n. k hio Bil 1 ni hesabu za ndotoni.
Sijakataaa kuwa kuna utitiri wa mambo kama tra na tfda Ila muhimu ni lengo rasmi na uchaguz wa eneo sahihi la biashara. Kinachokufanya wengi wetu ni kufanya biashara Kwa kuigana na kukosa lengo rasmi.
Kama umenisoma vizuri kwenye bandiko langu no kuwa kila ntakapo nunua mzigo wa 5mil nipate wastan wa faida ya 300k Sawa na 6%, katikati Hali halisi inazid Sana no karibia 800k Kwa sasa.
Kwa kila mzigo 5mil utatoa pumba walau 3000kg au pungufu. Kiroba kimoja cha kilo 100 kinaenda 16000tsh. Kwa mzigo wa 5mil utapata pumba ya dhaman 480000. Kumbuka hapo huu sikuweza pumba.
Kwa ujumla faida IPO Sana Tu. Ni mzoefu wa hii KAZI mitaji ya kuanzia ndo sumbufu jaman
Hesabu za kwenye daftari hizo mkuu acha kumdanganya mtoa mada na kudanganya watu. hizo hesabu za weka hii utapata hii ni hesabu chonganishi. Hamtofautiani na wapiga ramli nyie. Hizo hesabu zako hujazungumzia utapata wapi soko la mahindi, changamoto za serikal kufunga mipaka ya mazao, ushuru wa mazao katika mageti, msimu mbovu wa mvua, gharama za uendeshaji wa biashara hiyo kwa ujumla. We umekuja umepiga paah pah weka hii toa ile acheni dhambi nyie jamaa utashawishi watu wakakope wafanye kwa plan yako uliyo weka halafu kesho tukakuta watu wote andika uzi wa malalamiko mambo yamegoma tuwasaidie.
Ok sio kuwa motivation speaker hapana Ila nikazi ambayo nimekuwa naifanya Kwa muda mrefu Sana.
Kwanza niwekee wazi nimezungumza hivo kulingana na mazingira niliyotukana nafanyaje Mimi.
Kingine ieleweke sio kila biashara lazima jifanye dar au Tanzania ambako Ile ki Hali halisi kupiga hiyo pesa itakuwa ngumu.
Tukija kwenye selection ya eneo ambako ndo Kwanza ntaweza pendekeza Kwa MTU yoyote mwenyewe mtaji WA kiwango hicho ni either aende Mozambique na hasa mkoa kama nampula au kigoma Kwa upande wa Tanzania.
Tukija kwanini kigoma na wala sio dar.
Kigoma kama kigoma(kigoma mjini) kuna uhaba Sana wa chakula inafikia hatua unga WA sembe unafika mpaka 40k na Kwa wasiojua tu, hapa dar es salaam ni ngumu kupata unga WA sembe wa Azam tokana na ushindan mkubwa lakini Azam anauza kigoma sana. Na pia tukumbuke kilichozuiwa ni kusafirisha Mahind sio unga.
Kuna challenge umezungumzia ushuru wa mazao. Kama unafungua kiwanda na ukategemea kuwa utakuwa unafuata Mahind mwenyewe shamban jua ndo anguko lako kama huna mtaji. Siri iliyoko ni wewe kusubiria wanunue wa vijijin wa
Hesabu za kwenye daftari hizo mkuu acha kumdanganya mtoa mada na kudanganya watu. hizo hesabu za weka hii utapata hii ni hesabu chonganishi. Hamtofautiani na wapiga ramli nyie. Hizo hesabu zako hujazungumzia utapata wapi soko la mahindi, changamoto za serikal kufunga mipaka ya mazao, ushuru wa mazao katika mageti, msimu mbovu wa mvua, gharama za uendeshaji wa biashara hiyo kwa ujumla. We umekuja umepiga paah pah weka hii toa ile acheni dhambi nyie jamaa utashawishi watu wakakope wafanye kwa plan yako uliyo weka halafu kesho tukakuta watu wote andika uzi wa malalamiko mambo yamegoma tuwasaidie.
Nadhani niliposimamia na wewe ulipoelekea ni tofaut. Mimi sijazungumzia kufuata mahindi vijijini bali nimezungumzia kuwekeza katikati uzalishaji. Katika uzalishaji wowote lazima utegemee kuwa na suppliers wa mzigo au Kwa lugha nyingine Mali ghafi. Kwa hapa bongo ni madalali. Na hawa kuna wengine wanaweza kukuletea mzigo mpaka Kwa mkopo na wewe ukapigana kuuuza bidhaa zako uliyotengeneza.
Kwa hiyo wewe utadili na tfda,tra, tanesco, na vipimo.
Tukija kwenye gharama za uendeshaji.
Karibia kila gharama itaendana na uzalishaji wako.
Mara nyingi huwa hatuajiri Kwa mishahara Bali tunategemea vibarua kuanzia kukoboa,kusaga na hata kuuanika na kuuza pumba( ndo maana ukienda nunua pumba au ukienda mbagala kununua mchele au unga unakutana na gharama ya ubebaji au kupimiwa.
Challenge kubwa ni ni soko ambalo wengi wetu tunafanya kimazoea ni wachache Sana ambao wamebadilika na wanaenda kisasa kuendana na soko lakini Siri kubwa chakula hatuaez Acha Kula. Tena mahindi yanapopotea kwetu n neema.
Gharama ambazo kwangu naona ndo ngumu ni zile za mwanzo kama ununuzi wa mashine, usajiri was kampuni, ujenzi uingizaji wa umeme.
Tukija upande wa pili kinachowashinda wengi ni pale mwanzon unataka uwaachie watu wakufanyie weww uletewe mauzo hutayapata sio dalala hiyo.
Naongelea kitu ambacho nalijua kama unapesa njoo nikupe location usajiri kila kitu Kwa jina lako nipe mwaka mmoja nikupe hela yako