Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Motivation speaker katika ubora wako [emoji23]Mhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.
Hesabu za kwenye daftari hizo mkuu acha kumdanganya mtoa mada na kudanganya watu. hizo hesabu za weka hii utapata hii ni hesabu chonganishi. Hamtofautiani na wapiga ramli nyie. Hizo hesabu zako hujazungumzia utapata wapi soko la mahindi, changamoto za serikal kufunga mipaka ya mazao, ushuru wa mazao katika mageti, msimu mbovu wa mvua, gharama za uendeshaji wa biashara hiyo kwa ujumla. We umekuja umepiga paah pah weka hii toa ile acheni dhambi nyie jamaa utashawishi watu wakakope wafanye kwa plan yako uliyo weka halafu kesho tukakuta watu wote andika uzi wa malalamiko mambo yamegoma tuwasaidie.Mhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.
Bank gani hiyo inakopesha miaka 20?
Na Hakuna Mfanyabiashara Mkubwa Makini Anaetumia Pesa Yake Kufanyia Biashara. They Use Other People's Money.Kuna rafiki yangu ni mfanya biashara mkubwa kuna bank wamembembelezea pesa kinoma!
Kachukua mkopo wa milioni 100 kwa muda wa miezi 6,sasa cha kushangaza riba yake ni milioni 6 tu,wakati yeye pesa ameagiza contena ambalo hakosi faida ya milioni 20,ndani ya miezi sita shilingi itakuwa imezaa shilingi,Yaani anasema hadi miezi sita inakamilika atakuwa ashamaliza bank na mfukoni ana faida ya milioni 75,sasa utamwambia vipi mfanyabiashara asikope??
Bank wakiona ni mfanyabiashara mkubwa wanakupa pesa kwa riba Ndogo sana na bila masharti mengi tena kwa kukubembeleza!
Lakini wakiona huelewi chochote kuhusu biashara utapigwa riba hadi na za michepuko yako
Unajua lkn mishahara ya manesi miaka hio ilikua Tsh 38,000 na Leo hao hao wanalipwa Tsh. 700,000 na zaidi?Ni kweli. Ila simple speaking haiwezi kuwa 4 times.
Unajua lkn mishahara ya manesi miaka hio ilikua Tsh 38,000 na Leo hao hao wanalipwa Tsh. 700,000 na zaidi?
Hapo ndipo atajua no. hazidanganyi mkuu.Mwaka 2004 walimu wa shule ya msingi walikuwa wanalipwa 60000
Na huku shule za secondary za serikali za kutwa ada ikiwa elfu 20 kwa mwaka na bado watu wakawa wanarudishwa nyumbani mbaya kabisa kisa wazazi hawana pesa.Mwaka 2004 walimu wa shule ya msingi walikuwa wanalipwa 60000
Sijawahi kuona alie kopa akafanikiwa siku ya mwisho lazima ile kwake tu,hakuna jambo zuri kama ukisave mwenyewe
Sijakataaa kuwa kuna utitiri wa mambo kama tra na tfda Ila muhimu ni lengo rasmi na uchaguz wa eneo sahihi la biashara. Kinachokufanya wengi wetu ni kufanya biashara Kwa kuigana na kukosa lengo rasmi.Mkuu biashara haiko hivo usiweke hesabu as if utakuwa unakula wewe unga. Kuna kodi hapo kibao tu TRA, TFDA, Mazingira plus plus hali ya soko, kupanda kwa bei ya mahindi, wafanya kazi n. k hio Bil 1 ni hesabu za ndotoni.
Ok sio kuwa motivation speaker hapana Ila nikazi ambayo nimekuwa naifanya Kwa muda mrefu Sana.Hesabu za kwenye daftari hizo mkuu acha kumdanganya mtoa mada na kudanganya watu. hizo hesabu za weka hii utapata hii ni hesabu chonganishi. Hamtofautiani na wapiga ramli nyie. Hizo hesabu zako hujazungumzia utapata wapi soko la mahindi, changamoto za serikal kufunga mipaka ya mazao, ushuru wa mazao katika mageti, msimu mbovu wa mvua, gharama za uendeshaji wa biashara hiyo kwa ujumla. We umekuja umepiga paah pah weka hii toa ile acheni dhambi nyie jamaa utashawishi watu wakakope wafanye kwa plan yako uliyo weka halafu kesho tukakuta watu wote andika uzi wa malalamiko mambo yamegoma tuwasaidie.
Nadhani niliposimamia na wewe ulipoelekea ni tofaut. Mimi sijazungumzia kufuata mahindi vijijini bali nimezungumzia kuwekeza katikati uzalishaji. Katika uzalishaji wowote lazima utegemee kuwa na suppliers wa mzigo au Kwa lugha nyingine Mali ghafi. Kwa hapa bongo ni madalali. Na hawa kuna wengine wanaweza kukuletea mzigo mpaka Kwa mkopo na wewe ukapigana kuuuza bidhaa zako uliyotengeneza.Hesabu za kwenye daftari hizo mkuu acha kumdanganya mtoa mada na kudanganya watu. hizo hesabu za weka hii utapata hii ni hesabu chonganishi. Hamtofautiani na wapiga ramli nyie. Hizo hesabu zako hujazungumzia utapata wapi soko la mahindi, changamoto za serikal kufunga mipaka ya mazao, ushuru wa mazao katika mageti, msimu mbovu wa mvua, gharama za uendeshaji wa biashara hiyo kwa ujumla. We umekuja umepiga paah pah weka hii toa ile acheni dhambi nyie jamaa utashawishi watu wakakope wafanye kwa plan yako uliyo weka halafu kesho tukakuta watu wote andika uzi wa malalamiko mambo yamegoma tuwasaidie.
Thank youHakika unakipaji cha Biashara kudos
Mimi wakati mimi nilikua nahitaji mkopo wa 2.5 mil nikakosa Daaaahhh...!Thank you
Kwa ujumla benk za Tanzania pamoja na mengine hawajakaa kibiashara. Imekuwa kupewa mkopo ni kama msaada. Matokeo yake wanajikuta hakuna jipya wanalofanya, wamebaki wanategemea wafanyakazi. Walau Kwa sasa Mimi naona equity bank wanajitahid kusaidia Kwa watu wa Hali ya chini.Mimi wakati mimi nilikua nahitaji mkopo wa 2.5 mil nikakosa Daaaahhh...!
Equity nina Account kule ila sijui kama watanikopesha maana nataka niepukane na utumwa huuKwa ujumla benk za Tanzania pamoja na mengine hawajakaa kibiashara. Imekuwa kupewa mkopo ni kama msaada. Matokeo yake wanajikuta hakuna jipya wanalofanya, wamebaki wanategemea wafanyakazi. Walau Kwa sasa Mimi naona equity bank wanajitahid kusaidia Kwa watu wa Hali ya chini.
Ili mradi use kajibiashara hata kama ni genge pia ujitahid kuweka kamzunguko hata muda wa miezi mitatu. Ukifanikiwa hapo utapata tu. Ila kama ndo unaanza nakushauri tafuta watu muunde kajikundi muende mkakope kama kikundi ingawa Kwa hicho kiasi unachotaka itakuwa ngumu.Equity nina Account kule ila sijui kama watanikopesha maana nataka niepukane na utumwa huu
Tatizo mwajiri wetu nae roho mbaya, hataki kitudhamini kwenye hizi Bank ili tukope yaani yeye naweza sema anapenda kuona tukiwa watumwa wake tuIli mradi use kajibiashara hata kama ni genge pia ujitahid kuweka kamzunguko hata muda wa miezi mitatu. Ukifanikiwa hapo utapata tu. Ila kama ndo unaanza nakushauri tafuta watu muunde kajikundi muende mkakope kama kikundi ingawa Kwa hicho kiasi unachotaka itakuwa ngumu.
Huo mkopo sio wa kwenda Bank. Ndugu zako 2 tu wanaweza kupa hio na ukarudisha bila riba. Shida wengi hamuaminiki. Nilimpa jamaa bodaboda aendeshe arudishe tu nusu ya hela (mdogo wangu) hadi leo sijamsikia nimeamua kukaa kimya.Mimi wakati mimi nilikua nahitaji mkopo wa 2.5 mil nikakosa Daaaahhh...!
Una uelewa kiasi gani kuhusu biashara?kuna mzee wangu mmoja nilimuambia "ukienda kukopa benki milioni 10 alafu ukarudisha milioni 15 ni sawa sawa na wewe unashida alafu ukaenda benki ukawapa hizo milioni 5 bureee kabisa bila wao kutumia nguvu yeyote ile
kwa sababu ile riba yao ni sawa sawa na wewe umewapa hiyo pesa bureee bila wao kutumia nguvu.
kama unaweza kulipa milioni 5 ndani ya mwaka si ungedunduliza na kutunza taratibu tu pesa yako mpaka ifike milipni 5 kwa mwaka then unakuwa umeepuka kuwapa benk pesa ya bure (riba)