Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu jiulize thamani ya 1000 mwaka 1999 na thaman ya 1000 mwaka 2019. Hapo utawaelewa bank.Miaka 20 unakatwa 650,000 mana yake unaijua mzee. So kama income yako ni 1.2 ukitoa hio ni 5.5 miaka 20.
fuatilia historia ya mabenki duniani,yote yameanzishwa kuwanyonya na kuwakandamiza wanyonge,kwamba watakuja kukunyang`anya hata kile kidogo ulicho nachoWasalamu wakuu.
Baada ya hawa jamaa wa benki kuja kutoa semina hapa lindoni kwetu wakanishawishi kweli kweli kupata mkopo wa Kujenga.
Sasa last week nikawaibukia ofisini kwao nikawaambia nataka 40,000,000 nirudishe kwa miaka 20 kama walivosema wao.
Leo nikapigiwa simu kuwa niende nikasaini tayari process zishafanyika. Nilipofika kusoma nikaona kama nimechoka naomba nichukue nikasome taratibu kisha nitarejesha.
Hesabu iko hivi.
Mkopo: 40,000,000.
Riba: 18% (annually)
Monthly payment: 617,325.00
Hapa ukipiga hesabu for 20 year nitalipa
617,325.00 * 12 * 20= 148,158,000/=
Yaani almost 4 times ya hela nilokopa.
Nimeamua kuchoma huu mkataba nimempigia afisa mikopo kuwa sitoweza kusaini aendelee na shughuli zake.
Hapa ndo naelewa wale wanaonunua tofali kila mwezi kuweka kwenye kiwanja.
Bank hamnipati tena.
Ni kwamba hujui kusoma nilivyoandika au hakuna riba ya namna hiyoMkuu miaka 20 urudishe 60?. Mbona ningesaini hapo hapo
Hata ukienda Kenya utashangaa vijana wanarejesha mikopo kwa kiwango kikubwa kabisa bila tatizo,lkn Tanzania vijana kila siku wanalialia na ccmVijana wana vituko sana, yaani hawajui kuwa hawa wafanya biashara wakubwa waliofanikiwa wengi huwa na mikopo mikubwa mikubwa kwenye taasisi nyingi za kifedha?
Hamjui Kutumia Mikopo. Labda Mnaa Nyota Ya Umasikini.kuna mzee wangu mmoja nilimuambia "ukienda kukopa benki milioni 10 alafu ukarudisha milioni 15 ni sawa sawa na wewe unashida alafu ukaenda benki ukawapa hizo milioni 5 bureee kabisa bila wao kutumia nguvu yeyote ile
kwa sababu ile riba yao ni sawa sawa na wewe umewapa hiyo pesa bureee bila wao kutumia nguvu.
kama unaweza kulipa milioni 5 ndani ya mwaka si ungedunduliza na kutunza taratibu tu pesa yako mpaka ifike milipni 5 kwa mwaka then unakuwa umeepuka kuwapa benk pesa ya bure (riba)
Hapo sijaelewa, milioni 40 riba 18%! Sasa mbona ikigawanywa kwa muda huo na hicho kiasi kinakuwa juu Sana? Na ndiyo mwenye mada amepagawa kama vile mimiSo mkopo unaoulipa kwa miaka 20 ulitamani urudishe shilingi ngapi katika hilo deni la milioni 40?
Biashara ya kwenye makaratasi hii ila kwenye uhalisia haiwezekani kabisa
Wenye mishahara midogo kama 500,000 hamtakiwi kukopa kabisa, kwq sababu watakukata pakubwa, lakini pia mkopo mdogo tu, unaweza chukua miaka mitano na kiendelea.Nilikopaga bank 10ml aisee mpaka Leo nataabika mbaya hata mapenzi yamepungua nyumbani na wife kuishi kwa 230000 ndani ya mwezi sio mchezo aisee
Kwahiyo 10M Ulivyochukua, Ukatupa Chooni.Nilikopaga bank 10ml aisee mpaka Leo nataabika mbaya hata mapenzi yamepungua nyumbani na wife kuishi kwa 230000 ndani ya mwezi sio mchezo aisee
Ukijenga kwa kudunduliza utakufa bureHapa ndo naelewa wale wanaonunua tofali kila mwezi kuweka kwenye kiwanja.
Bank hamnipati tena.
Mkuu miaka 20 urudishe 60?. Mbona ningesaini hapo hapo
Sio.kweli hata kidogoSijawahi kuona alie kopa akafanikiwa siku ya mwisho lazima ile kwake tu,hakuna jambo zuri kama ukisave mwenyewe
Bank gani hiyo inakopesha miaka 20?Wasalamu wakuu.
Baada ya hawa jamaa wa benki kuja kutoa semina hapa lindoni kwetu wakanishawishi kweli kweli kupata mkopo wa Kujenga.
Sasa last week nikawaibukia ofisini kwao nikawaambia nataka 40,000,000 nirudishe kwa miaka 20 kama walivosema wao.
Leo nikapigiwa simu kuwa niende nikasaini tayari process zishafanyika. Nilipofika kusoma nikaona kama nimechoka naomba nichukue nikasome taratibu kisha nitarejesha.
Hesabu iko hivi.
Mkopo: 40,000,000.
Riba: 18% (annually)
Monthly payment: 617,325.00
Hapa ukipiga hesabu for 20 year nitalipa
617,325.00 * 12 * 20= 148,158,000/=
Yaani almost 4 times ya hela nilokopa.
Nimeamua kuchoma huu mkataba nimempigia afisa mikopo kuwa sitoweza kusaini aendelee na shughuli zake.
Hapa ndo naelewa wale wanaonunua tofali kila mwezi kuweka kwenye kiwanja.
Bank hamnipati tena.
Hakika unakipaji cha Biashara kudosMhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.