Bantu lady zawadi yako ya muungano naomba ipokee!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1398530814.505577.jpgBantu lady jaribu hii kitu kama itakukaa nimenunua kwa pesa nyingi sana
Isipokutosha mpe mdogo wako miss neddy nimefurahishwa sana na mikwara ya JWTZ leo!
 
Last edited by a moderator:
Wow thank you..., hapo kinanitosha kiatu, nitachukua na bag pamoja na sunglasses.
Vingine namuachia my wii miss neddy maana hiyo suruali haitanitosha hata kuingiza mguu. Chocolate color nimeipenda bure. Thanks again!!
 
Last edited by a moderator:
Kibo10 mwanzo na mwisho kutoa zawadi kwa mke ya mutu!!Onyo!!!!!!!Na nitazichoma moto leo!
sungura1980 mimi na wewe hatuna ugomvi na ni majirani tunaoelewana Bantu lady mwenyewe wakati nilipo safiri kikazi aliniomba nimletee
Kwa hiyo mimi sina makosa labda ujaribu kumuliza.
 
Last edited by a moderator:
sungura1980 mimi na wewe hatuna ugomvi na ni majirani tunaoelewana Bantu lady mwenyewe wakati nilipo safiri kikazi aliniomba nimletee
Kwa hiyo mimi sina makosa labda ujaribu kumuliza.

Jirani naona unavuka mipaka!Mbona mi hukuniaga kama unasafiri?Hizo zawadi leo nitazichoma moto ili siku nyingine mawasiliano yote na shemeji yako yapitie kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Jirani naona unavuka mipaka!Mbona mi hukuniaga kama unasafiri?Hizo zawadi leo nitazichoma moto ili siku nyingine mawasiliano yote na shemeji yako yapitie kwangu!

Alisema umeenda kazini mkuu nikamwambia ukija akupe salamu zangu kuwa nasafiri kidogo
Kama hakukuambia ana lake jambo (JK)
 
Kwa kweli mke huna. Manake vibuzi hadi mlangoni
Haiwezekani, unajua ulitakiwa uwe mtu wa mwisho kuongea haya? Sawa bhana nisemeje tena, ila hamna kitu zawadi anapewa mtu yoyote sioni tatizo hapa.
The Boss
 
Last edited by a moderator:
Wow thank you..., hapo kinanitosha kiatu, nitachukua na bag pamoja na sunglasses.
Vingine namuachia my wii miss neddy maana hiyo suruali haitanitosha hata kuingiza mguu. Chocolate color nimeipenda bure. Thanks again!!

hahahaha mi pia nataka sunglasses tu vingine mmghhh nitashindwa kutoa maelezo kwa Excel
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani, unajua ulitakiwa uwe mtu wa mwisho kuongea haya? Sawa bhana nisemeje tena, ila hamna kitu zawadi anapewa mtu yoyote sioni tatizo hapa.
The Boss

Halafu hata huyu sungura hajui mimi nilitoa baraka zangu zote akuoe kama kaka...ulimwambia?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom