Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miss neddy naona tu unafurahia kupokea zawadi!Sijui Excell yuko wapi??hahahaha sungura mjanja nakusalimu lol
Halafu hata huyu sungura hajui mimi nilitoa baraka zangu zote akuoe kama kaka...ulimwambia?
Hahahaaa my wii kumbe muoga hivyo pia? mwenzako vinachomwa moto. Nakupenda so ichukue tu hiyo sunglasses luv. Msalimu my kaka Excel
miss neddy naona tu unafurahia kupokea zawadi!Sijui Excell yuko wapi??
Kibo10 mwanzo na mwisho kutoa zawadi kwa mke ya mutu!!Onyo!!!!!!!Na nitazichoma moto leo!
Honey Faith sorry tayari nishazichoma!Kabla haujazichoma moto naomba unigawie mie
Kabla haujazichoma moto naomba unigawie mie
Mke wangu ebu tukalale please,namuheshimu sana The Boss ujue!Leo ndio iwe mwanzo na mwisho wa kupokea zawadi!Rafikiii,,mi nilijua ni jirani tu!!
Si ndio jirani yetu mume wangu, pia ni rafiki yangu sana tu. Mbona nilishakwambia mara nyingi?
Haya tukalale basi yaishe honey sungura1980
Kawivu kanahusika hapa
HahahaView attachment 154093Bantu lady jaribu hii kitu kama itakukaa nimenunua kwa pesa nyingi sana
Isipokutosha mpe mdogo wako miss neddy nimefurahishwa sana na mikwara ya JWTZ leo!