PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaJirani naona unavuka mipaka!Mbona mi hukuniaga kama unasafiri?Hizo zawadi leo nitazichoma moto ili siku nyingine mawasiliano yote na shemeji yako yapitie kwangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaJirani naona unavuka mipaka!Mbona mi hukuniaga kama unasafiri?Hizo zawadi leo nitazichoma moto ili siku nyingine mawasiliano yote na shemeji yako yapitie kwangu!
Alisema umeenda kazini mkuu nikamwambia ukija akupe salamu zangu kuwa nasafiri kidogo
Kama hakukuambia ana lake jambo (JK)
HahahaKwa kweli mke huna. Manake vibuzi hadi mlangoni