Sanaa ya bongo nzito,ukitaka kuwa maskini maarufu basi fanya sanaa Tz,huyu jamaa tangu atangaze kuwa siku zake za kuishi si nyingi sikumsikia tena ila Dunia ni mapito ipo siku...
Wabongo walivyo wanafiki sasa, japo hatuombei itokee, akifariki ndio utasikia redioni nyimbo zake zitapigwa na kurudiwarudiwa kutwa na wauzaji wa cd watauza sana, na msibani wasanii watajiliza sana na kujifanya wamezimia, utaona miguo imevaliwa mieusii na mamiwani meusi makubwa, kila msanii atakayehojiwa na tv atakuwa na kitambaa cha kufuta machozi na kujifanya wana uchungu mno! Hebu msaidieni Banza leo sio mngijee afe mtafute sifa.
unga mbaya sana daah.
Radio Tumaini hawapindishi maneno nilisikia jana kina Gaudence wakielezea hiyo story 96.5 FM.
wamsaidie nini?hela au?teja habebeki,ukimpa hela anannua unga!angekuwa anaumwa ugonjwa natural tungesema sawa asaidiwe,sasa we unataka kumuingilia mtu kwenye starehe yake ya ulevi?!!!Wabongo walivyo wanafiki sasa, japo hatuombei itokee, akifariki ndio utasikia redioni nyimbo zake zitapigwa na kurudiwarudiwa kutwa na wauzaji wa cd watauza sana, na msibani wasanii watajiliza sana na kujifanya wamezimia, utaona miguo imevaliwa mieusii na mamiwani meusi makubwa, kila msanii atakayehojiwa na tv atakuwa na kitambaa cha kufuta machozi na kujifanya wana uchungu mno! Hebu msaidieni Banza leo sio mngijee afe mtafute sifa.
Maneno kuntu haya....
wamsaidie nini?hela au?teja habebeki,ukimpa hela anannua unga!angekuwa anaumwa ugonjwa natural tungesema sawa asaidiwe,sasa we unataka kumuingilia mtu kwenye starehe yake ya ulevi?!!!
Diouf alienda kumshtaki Banza kwa Asha Baraka kwamba anawafundisha Aisha na wenzake wawili wa kike,nao ni wacheza show. Banza hiyo kitu akakataa,Diof alikuwa hataki hao mademu wavute nao. Ingawa na yeye alikuwa anatumia. Diouf sasa hivi yuko England,kamfata mama watoto wake.
Bado hajaoa! Wanasema yupo Tunduma
hamna cha ukuntu hapo,..jitu zima linajua madhara ya unga utalisaidaje!ni sawa na mimi niende kona bar niopoe changudoa nipige peku halafu walaumiwe rafiki zangu.!!!!
Mbona ray c kasaidiwa au yy ilikua sio drug
Asha atakua na tatizo kwenye kumanage wasanii wake...kwanini wanaathirikia kupita kiasi na unga na bangi wakiwa chini yake. Madinda, chokoraa; diof, banza nk. Anasubiri wafe agharamie mazishi? Hawa wasanii wamemtajirisha sana anatakiwa awafanyie zaidi ya kuwatumia tiketi!
kwani mama akipika ugali sharti si uliwe au usiliwe sembe zinatoka kwa mama watoto wanacho kifanya ni kubwia wengine pia ni punda wanabebeshwa haya kalaga baho
Mwajiri wake mpya kauchuna tu kila wiki end tuko naye Meeda pub akituchezesha mtindo wa kizigo.
Ama kweli kachokwa na safari yake imeiva. Atusalimie Aisha Madinda tu.
Habari.
Mwenye update kuhusu nguli huyu wa muziki wa dansi atupe.