Banza Stone ana hali mbaya


Hapo kwenye red, kunatatizo.

By the way, anaendeleaje huyu kaka yetu?
 
kwa hiyo wote tuvute unga tukitegemea ikulu itatupeleka rehab!mshaurini banza ajiwekee papuchi na macho ya kurembua wapambe wa pale magogoni watamkutanisha na mwajiri namba moja.

Haha haa mkuu una akili sana
 
Hapo kwenye red, kunatatizo.

By the way, anaendeleaje huyu kaka yetu?

Tatizo lililopo hapo ni kwamba mtu anaekula unga akishika hela kidogo lazima akatafute hayo mavitu. Asha baraka anajua. Ndio maana alimtumia ticket
 
Kuna habari zina zagaa ameaga dunia. Ni tetesi lakini. Kama kuna ukweli tuhakikishieni
 
Kuumwa kwa mtu sidhan kama ni sahihi kujadili pia wengine wamezusha kafa sijui kutamsaidia nn huyo alie anzisha uchawi huo.Banza yupo na tutamuacha jiulize umeanza kusikia lini anaumwa hadi leo yupo na waliokua hai wameisha tangulia mbele ya haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…