DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Wewe ndo utuambie imekuwaje kwani mpaka umfungulie uzi humu..!!?
He's sick.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo utuambie imekuwaje kwani mpaka umfungulie uzi humu..!!?
Aliyekuwa mwanamuziki wa Twanga Pepeta,Ramadhani Masanja au Banza stone,anaumwa sana na yuko Mbeya. Habari zinasema kakosa hadi nauli ya kurudi Dar Es salaam. Mkurugenzi wa Twanga pepeta Asha Baraka,kasema yeye atamtumia tiketi kwani hawezi kumtumia pesa Yuko maeneo ya Tunduma pamoja na msanii mwenzake wa zamani wa Twanga anayeitwa Athanas. Source: Radio Tumaini na Luiza Mbutu.
kwa hiyo wote tuvute unga tukitegemea ikulu itatupeleka rehab!mshaurini banza ajiwekee papuchi na macho ya kurembua wapambe wa pale magogoni watamkutanisha na mwajiri namba moja.
Hapo kwenye red, kunatatizo.
By the way, anaendeleaje huyu kaka yetu?
Huyu jamaa anaumwa jamani
Huyu jamaa anaumwa jamani
Yuko hoi aiseee... Nimeona hii kwa Milalrd Ayo