Bao kwenye tendo la ndoa sasa kulipiwa

Bao kwenye tendo la ndoa sasa kulipiwa

Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku

Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓

Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na amemwita aende akamtafune na yeye rafkiangu hataki🙆

Nikamwuliza kwanini hautaki?! Maana namfahamu anapeeenda Kutembea na waume za watu🚶

Rafkiangu: Penny bwana hawa waume za watu washaanza kunichosha, MTU anakuhemea hapo Kwa hotel DK 30 anaondoka anakuacha umelala anaenda Kwa mkewake, maisha ya utumwa staki tena ISITOSHE, Anakupiga bao 1 au 2 anakuacha laki 1 au 2 anaondoka, haya maisha nimeyachoka, ina maana bao moja skuhizi NI laki 1?! Yani Kila bao NI laki 1?! Huo si utumwa?!

Money Penny: kwani kawaida unalipwa Kwa bao au sijaelewa🙄

Rafiki: me mpaka nimemkubalia mume WA MTU lazima bao 1 anilipe laki 3, maana akiondoka akaniachia maupwiru nahangaika usiku kucha, sasa sijaelewa kwanini bao limeshuka dau mpaka laki 1, wanasema Hali ngumu Corona Corona, kwani Corona imeondoka na nguvu za kiume au pesa za bao??

Eti wanaume WA Huku Jamii forum, naombeni mnisaidie, kwani skuhizi mnalipa wanawake Kwa kumpigia bao?!
Na bao moja ni TSH ngapi wapendwa?! 😂😂😂😂😂

Umefungua account kwa ajili ya kupenda kwako uzinzi sijui we unae pepo maaana nyuzi zako za kijinga sana
 
We unawabemenda watoto wa watu Kwa elfu 30 wenye Miaka 20
Yeye anabemendwa na waume za watu wenye hela zao, analipwa mara 10 ya unayowapa watoto wa chuo.
As you age the price becomes 10 times better🏃🏃
Am just saying💃💃💃

Huyo ni wewe unatoa sifa zako kwa mgongo wa mtu we jitangaze tu watu wafike dau
 
You wish
Sina dhiki za maisha
Nenda YouTube Channel yangu kanione kama Nina dhiki za maisha
Wewe ndo Una njaa ya maisha 😂😂 kama nakuona isipofika mwezi wa 10 utatupa mjegeje, wapi posta za kichwa, wapi oysterbay za miguu😂😂
 
Kuwa na channel kuna husianaje na wewe kutojiuza 😁😁 unachekesha ww
 
Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku

Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓

Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na amemwita aende akamtafune na yeye rafkiangu hataki🙆

Nikamwuliza kwanini hautaki?! Maana namfahamu anapeeenda Kutembea na waume za watu🚶

Rafkiangu: Penny bwana hawa waume za watu washaanza kunichosha, MTU anakuhemea hapo Kwa hotel DK 30 anaondoka anakuacha umelala anaenda Kwa mkewake, maisha ya utumwa staki tena ISITOSHE, Anakupiga bao 1 au 2 anakuacha laki 1 au 2 anaondoka, haya maisha nimeyachoka, ina maana bao moja skuhizi NI laki 1?! Yani Kila bao NI laki 1?! Huo si utumwa?!

Money Penny: kwani kawaida unalipwa Kwa bao au sijaelewa🙄

Rafiki: me mpaka nimemkubalia mume WA MTU lazima bao 1 anilipe laki 3, maana akiondoka akaniachia maupwiru nahangaika usiku kucha, sasa sijaelewa kwanini bao limeshuka dau mpaka laki 1, wanasema Hali ngumu Corona Corona, kwani Corona imeondoka na nguvu za kiume au pesa za bao??

Eti wanaume WA Huku Jamii forum, naombeni mnisaidie, kwani skuhizi mnalipa wanawake Kwa kumpigia bao?!
Na bao moja ni TSH ngapi wapendwa?! 😂😂😂😂😂
Kwa ubora wa bao langu nahisi hii show unatakiwa uilipie wewe manzi gharama ya 250k for whole night
 
Hela zangu, Bao Langu Dyudyu Yangu

Kuna watoto wa chuo kwa 30,000 unapata show matata sana

Mwambie enzi zake zimeisha atulie tu
Siyo wanachuo, wanajisingizia ili muwaone wanajuiza yet wanasoma, acheni kukariri
 
Alafu utapata mume wa mtu amevaa Ndom............anatoka na nyute zake huyoooo........kapigana na karatasi ama kaishia na kukosa kote??? Kizazi hichi kimelaaniwa😡😡😡
 
Back
Top Bottom