Bao kwenye tendo la ndoa sasa kulipiwa

Bao kwenye tendo la ndoa sasa kulipiwa

Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku

Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua[emoji29]

Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na amemwita aende akamtafune na yeye rafkiangu hataki[emoji134]

Nikamwuliza kwanini hautaki?! Maana namfahamu anapeeenda Kutembea na waume za watu[emoji124]

Rafkiangu: Penny bwana hawa waume za watu washaanza kunichosha, MTU anakuhemea hapo Kwa hotel DK 30 anaondoka anakuacha umelala anaenda Kwa mkewake, maisha ya utumwa staki tena ISITOSHE, Anakupiga bao 1 au 2 anakuacha laki 1 au 2 anaondoka, haya maisha nimeyachoka, ina maana bao moja skuhizi NI laki 1?! Yani Kila bao NI laki 1?! Huo si utumwa?!

Money Penny: kwani kawaida unalipwa Kwa bao au sijaelewa[emoji849]

Rafiki: me mpaka nimemkubalia mume WA MTU lazima bao 1 anilipe laki 3, maana akiondoka akaniachia maupwiru nahangaika usiku kucha, sasa sijaelewa kwanini bao limeshuka dau mpaka laki 1, wanasema Hali ngumu Corona Corona, kwani Corona imeondoka na nguvu za kiume au pesa za bao??

Eti wanaume WA Huku Jamii forum, naombeni mnisaidie, kwani skuhizi mnalipa wanawake Kwa kumpigia bao?!
Na bao moja ni TSH ngapi wapendwa?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka namba ya rafiki yako tumtafute tunao Lipa bao laki 2 anicheki DM code massage
 
kariri mwenyewe

kama unabisha endesha uber usiku nikupe kazi ya kuwarudisha Hall X block Y
Lazima wa act ili muamini. Ukishamfikisha hapo Hall X anaita tena uber nyingine ya kumpeleka nyumbani kwake. Uzuri wana info zote za vyuo, kozi, etc. Ndiyo maana vyuo sasa kuna mpango wa kuingia class kwa finger print kuzuia hao watu.
 
We unawabemenda watoto wa watu Kwa elfu 30 wenye Miaka 20
Yeye anabemendwa na waume za watu wenye hela zao, analipwa mara 10 ya unayowapa watoto wa chuo.
As you age the price becomes 10 times better🏃🏃
Am just saying💃💃💃
Ulipe taxii iliyochoka noti nyingi wakati crown kibao bei Chee,I can't
 
Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku

Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓

Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na amemwita aende akamtafune na yeye rafkiangu hataki🙆

Nikamwuliza kwanini hautaki?! Maana namfahamu anapeeenda Kutembea na waume za watu🚶

Rafkiangu: Penny bwana hawa waume za watu washaanza kunichosha, MTU anakuhemea hapo Kwa hotel DK 30 anaondoka anakuacha umelala anaenda Kwa mkewake, maisha ya utumwa staki tena ISITOSHE, Anakupiga bao 1 au 2 anakuacha laki 1 au 2 anaondoka, haya maisha nimeyachoka, ina maana bao moja skuhizi NI laki 1?! Yani Kila bao NI laki 1?! Huo si utumwa?!

Money Penny: kwani kawaida unalipwa Kwa bao au sijaelewa🙄

Rafiki: me mpaka nimemkubalia mume WA MTU lazima bao 1 anilipe laki 3, maana akiondoka akaniachia maupwiru nahangaika usiku kucha, sasa sijaelewa kwanini bao limeshuka dau mpaka laki 1, wanasema Hali ngumu Corona Corona, kwani Corona imeondoka na nguvu za kiume au pesa za bao??

Eti wanaume WA Huku Jamii forum, naombeni mnisaidie, kwani skuhizi mnalipa wanawake Kwa kumpigia bao?!
Na bao moja ni TSH ngapi wapendwa?! 😂😂😂😂😂

Biashara matangazo
 
Back
Top Bottom