Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

Deflection ta nani? kama ni opposition player inavunjwa iko hivyo dunia nzima, wacheni kulialia, hamjiamini mnatetemekaa
Sheria inasema hivi mkuu:

A player in an offside position at the moment the ball is played or touched by a team-mate is only penalised on becoming involved in active play by:

...

gaining an advantage by playing the ball or interfering with an opponent when it has:

rebounded or been deflected off the goalpost, crossbar or an opponent

been deliberately saved by any opponent

A player in an offside position receiving the ball from an opponent who deliberately plays the ball (except from a deliberate save by any opponent) is not considered to have gained an advantage.

A ‘save’ is when a player stops a ball which is going into or very close to the goal with any part of the body except the hands (unless the goalkeeper within the penalty area).

1.) So, it was offside, because the ball deflected off an opponent.

2) If it were a deliberate save by an opponent then again offside.

3) If it were a deliberate play by an opponent (that was not a save), then no offside.
 
Nimecheck mkuu, ni kweli clear offside. Mwanzoni nilivyocheki replay nilidhani wakwanza kuucheza mpira ni mchezaji wa Simba ambaye alikuwa onside. Kumbe umemgonga beki wa Mbeya kwanza. Ni offside tu pale ambapo mpira umemgonga beki wa Mbeya kwanza ila sio offside endapo beki wa Mbeya kwanza kaucheza mpira.
 
Pale uliposema... nanukuu........ picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea.... mwisho wa kunukuu.. MPAKA KUFIKA HAPO, KWANINI FILIMBI YA KUOTEA HAIKUPIGWA? FILIMBI INAPIGWA MCHEZAJI AKIOTEA, WHY ILISUBIRIWA OFFDIDE IVUNJWE...!?
Swali zuri
 
Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).

Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.

Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.

Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Psg walifungwa goli Kama Hilo na VAR ikakubali ingawa refa alikataa, so hata tungekua na VAR ingekubali tu Kua ni goli
 
We ni mpumbavu sana uchambuzi mandazi

Nani amepiga pasi? Unaweza kupiga pasi vile? Wabongo mnaua mpira kwa sababu za ushabiki.

Pumbavu zenu litimu libovu ngoja muone caf mtakavyochezea vya kutosha.
Caf marefa hawana maelekezo ya GSM, wala timu hazipaki basi, na marefa ni international, subirini kuona mbungi
 
Caf marefa hawana maelekezo ya GSM, wala timu hazipaki basi, na marefa ni international, subirini kuona mbungi
Hao marefa wenye maelekezo ya GSM wangekubeba kwenye mechi na prisons na Mbeya Kwanza?? Ngojeni ije upande wa pili muanze kubweka GSM kanunua ligi
 
Hao marefa wenye maelekezo ya GSM wangekubeba kwenye mechi na prisons na Mbeya Kwanza?? Ngojeni ije upande wa pili muanze kubweka GSM kanunua ligi
Shindeni mechi zenu, mbona gap kubwa na mnalalamika?
 
Psg walifungwa goli Kama Hilo na VAR ikakubali ingawa refa alikataa, so hata tungekua na VAR ingekubali tu Kua ni goliView attachment 2111325
Ya PSG walifungwa goli halali kwasababu mpira ulivyopiga, yule mchezaji wa PSG aliucheza ule mpira na kwenda kwa adui. Ila ya Simba dhidi ya Mbeya kwanza ni kwamba mpira ulimgonga mchezaji wa Mbeya kwanza. Nenda kapitie tena sheria uone tofauti ya deflection na deliberate play.
 
Ya PSG walifungwa goli halali kwasababu mpira ulivyopiga, yule mchezaji wa PSG aliucheza ule mpira na kwenda kwa adui. Ila ya Simba dhidi ya Mbeya kwanza ni kwamba mpira ulimgonga mchezaji wa Mbeya kwanza. Nenda kapitie tena sheria uone tofauti ya deflection na deliberate play.
Hiyo tafsiri ya kumgonga na kuucheza (poor pass) ndiyo inayoleta utata
 
So if a defender plays a poor pass, and that pass is intercepted by an opposition player who was in an offside position, it would not be offside.
Kwenye mpira tumia Sana opponent player instead of oppossion ,that opposition waachie akina Tundu lisu huko ,sometimes
 
Hiyo tafsiri ya kumgonga na kuucheza (poor pass) ndiyo inayoleta utata
Hakuna utata mkuu angalia utofauti
IMG_20220208_081920.jpg
 
Back
Top Bottom