Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Tuwe tunajielimisha kama hivi itasaidia sana waamuzi kujirekebisha na siyo kuwaunga mkono wanapofanya ujinga. Anayesema haikuwa offside kwa sababu beki wa Mbeya Kwanza aliugusa mpira, aje atuambie kama Ungekuwa umerudishwa na kipa bado isinhekuwa offside?Nimecheck mkuu, ni kweli clear offside. Mwanzoni nilivyocheki replay nilidhani wakwanza kuucheza mpira ni mchezaji wa Simba ambaye alikuwa onside. Kumbe umemgonga beki wa Mbeya kwanza. Ni offside tu pale ambapo mpira umemgonga beki wa Mbeya kwanza ila sio offside endapo beki wa Mbeya kwanza kaucheza mpira.