Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

Tuwe tunajielimisha kama hivi itasaidia sana waamuzi kujirekebisha na siyo kuwaunga mkono wanapofanya ujinga. Anayesema haikuwa offside kwa sababu beki wa Mbeya Kwanza aliugusa mpira, aje atuambie kama Ungekuwa umerudishwa na kipa bado isinhekuwa offside?
 
We kichwa ngumu kweli
 
Ahahahahaaa....!!! Sawa, lakini we kichwa chepesi ungejibu swali langu...!! Kama kuna muda palikuwa na offside, why filimbi haikupulizwa muda huo..??
Hahha mtaalamu hii ndio raha ya mpira ndio maana var hajaharibu utamu wa mpira.
Watu wabishane kwa sababu kila mtu anajiona yupo sahihi
 
Hahha mtaalamu hii ndio raha ya mpira ndio maana var hajaharibu utamu wa mpira.
Watu wabishane kwa sababu kila mtu anajiona yupo sahihi
Kati hao wawili wanaobishana, kuna mmoja ni muongo.. Na hapa muongo anaoneka. Maana anahaha tu na kucheza na lugha LAKINI HAJIBU SWALI... Ahahahahaaaa...!!!

Na hili swali wengi mtaonyesha upenzi kwa timu yenu badala ya kulijibu

VAR haijaja kuharibu mpira, bali imekuja kutuonyesha marefu wanaopendelea timu fulani kwa kutoa adhabu pasipostahili au kuacha kutoa adhabu panapostahili...
 
Ahahahahaaa....!!! Sawa, lakini we kichwa chepesi ungejibu swali langu...!! Kama kuna muda palikuwa na offside, why filimbi haikupulizwa muda huo..??
Filimbi ya offside huwa haipigwi wakati ambao mchezaji yupo kwenye eneo la kuotea bali filimbi ya offside inapigwa wakati ambao mchezaji aliyopo kwenye eneo la kuotea akiuingilia mchezo.
 
Filimbi ya offside huwa haipigwi wakati ambao mchezaji yupo kwenye eneo la kuotea bali filimbi ya offside inapigwa wakati ambao mchezaji aliyopo kwenye eneo la kuotea akiuingilia mchezo.
Kagere aliotea au hakuotea?
 
Naangaliaga mechi ya simba huku nimejiandaa kisaikolojia kushuhudia tukio la mbeleko leo ni lipi, huwa najua kazima liwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…