Bar na migahawa tuwekeeni mabomba na masinki ya kunawa mikono kwa ajili ya chakula

Bar na migahawa tuwekeeni mabomba na masinki ya kunawa mikono kwa ajili ya chakula

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mimi sio muumini wa kunawaishwa mikono na maji ya vikombe au majagi kwenye vibobo vilivyozoeleka sana sehemu nyingi hapa bongo, huwa napendelea zaidi kwenda kunawa mikono bombani kabisa na maji ya kijipimia mwenyewe, sasa inakera unafika Bar kubwa kabisa au mgahwa wa hadi halafu hakuna bomba za maji na sinki za kunawa mikono zaidi ya za chooni ni wahudumu wanazunguka tu na vibobo vya kunwaishia wateja mikono.
 
Back
Top Bottom