Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Wadau wa jukwaa mnajua hapa ndio sehemu pekee pamekuwa pa kuwekana sawa kama jamii. Kwa muda mrefu wamiliki wa bar na pubs wanadhani kupiga mziki mkubwa inavutia wateja. Ukweli ni kwamba bar ndo sehemu watu tunabadilishana mawazo hata kufahamiana. Sasa bar nyingi miziki inakuwa juu kiasi unalazimika kunywa kimya kimya maana ukiongea ni kama uko kwenye crusher site. Unahamia pengine ni vile vile.
Hata mantik ya kuja bar au pub kama marafiki haina maana kwa vile hamuwezi ongea. DJ s wafikirie namna ya kupiga mziki starehe na si mziki kero. Anayehitaj kubang sana anajua kuwa ni night club. Sasa siku akipatikana mmiliki anayejua nini wateja tunataka atapata faida kubwa kwa kulimit kelele za mziki. Wengi wako hivi.
Unaenda bar na kurudi bila kubadilishana mawazo na mtu. Tubadilike. Tujue wateja wanahitaj nini hadi kufika pale. Bar ni makutano zaidi si kunywa tu! Hatufati mziki wa kuharibiana masikio. Hata majumbani kwetu sebulen vipo. Dj na meneja mjue mziki kelele unakera wateja. Unaskia kama ni pale siji. Sio tulivu.