Bar punguzeni volume ya mziki, mnafukuza wateja

Bar punguzeni volume ya mziki, mnafukuza wateja

Kuna dada mmoja ana pub yke iko sehemu fulani
Inaitwa 3 bila kelele hpo ndy kwake....
Kelele za mziki,kelele za watoa huduma+matusi
Vurugu tu ila burdan sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Natumia mvinyo kaka. Natii kanuni ..in vinus veritas. Labda Tofaut kubwa kat yang na wewe ni kuwa mimi nakunywa responsibly!
Kunywa ni kunywa tu, kunywa responsibly ni maneno ya kwenye kanga kwa watu wasio na pesa.
 
Sio kweli. Kiuhalisia wanaokunywa kama wamepata hela za mwisho ni huko visiwan na machimbon. Mjin kunywa ni sehem ya ratiba ya kawaida na bar ndo kumbi za mikutano bila ajenda na kukwepa kukwazana na mke uende kulala tu. Sasa hawa dj ni kama ulimbuken. Mziki had hamwez badilishana mawazo. Inakera. Ili uongee lazma uwe km mizim inataka kukuingia tawile. Spika zenyeqe hiz stereo had maskio yanauma. Sijawai ona biashara ambapo mtoa huduma anakazana kufukuza wateja wastaarab kwa fujo ya kimziki
Mimi nikionaga hivyo huwa naondoka.
 
Back
Top Bottom