Wangekuwa na siku maalum za kupigisha hiyo mikelele ingekuwa safi, lakini unakuta imefungwa mispika kila kona bila mpangilio wowote wa maana wa sauti, saa 9jioni mpaka saa 7usiku ni mikelele tu, siki zote 7 za wiki.
Au wenye uwezo, waweke spika ndogo(kwa muonekano) chini kwa wingi wa kutosha, fungulia mziki kwa volume ndogo tu, wote watasikia, watafurahia na bado watazungumza.
La, tuwe tu sheria kali za kuzuiwa mikelele kweny makazi ya watu, decibels kadhaa(75bB) mwisho, zaidi ya hapo uwajibishwe tu.