Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ni sehemu nzuri ya kutulia, pole kwake mmilikiJuzi kuna mdau aliitaja hiyo bar kama chimbo makini kwa totoz,huu ni msiba mzito sana kwa Zero Iq na nduguze!
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Pumzika Kwa amani kipenzi cha watanzania ungekuwepo yote haya yasingotekeaZoezi la uzimaji wa moto likiendelea katika Bar ijulikanayo kwa jina la Board Room iliyopo Sinza Mori ambapo baadhi ya maeneo ikiwemo Nyumba vya kulala wageni vimeteketea kwa moto huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.
View attachment 1994638
Duh mlifanya mungu mtu.Pumzika Kwa amani kipenzi cha watanzania ungekuwepo yote haya yasingotekea
Kipenzi chenu huyo anahusikaje hapa?Pumzika Kwa amani kipenzi cha watanzania ungekuwepo yote haya yasingotekea
Meeda si ilipwaya wajipange warud sasawauza nyapu wataamia meeda sasa
Kwanini wanauza bia saa za kazi?Bar ya Boardroom and Lodge iliyopo Sinza imeshika moto, gari la zimamoto limefika na shughuli ya kuokoa mali inaendelea.
View attachment 1994636