Bar ya Board Room inaungua

Bar ya Board Room inaungua

Nnachokiona Ni kampeni ya kimya kimya kuzichoma bar zote zinazofanya biashara kongwe.

Ilianza lachaz, sinza
Ikaja cask, mwanza
Sahv Ni boardroom, sinza Tena.

Ukifuatilia Hii trend utagundua ni mule mule TU kwenye machimbo pendwa.

KWAKWELI,
HAPA SERIKALI IINGILIE KATI [emoji3525]
 
Naona walevi kwa keyboard wanasikitika bar kuungua
 
Hizi Mambo za Moto hizi
Kuna mtu aliwahi post humu inshu ya soko la kariakoo kuungua
Uzi wake ukafutwa
 
Matukio ya Moto mbona yanazidi siku hadi siku, kulikoni?
 
Nina wasi wasi maombi ya walokole ndo yanatuletea hizi shida. Serikali iingilie kati.
 
Back
Top Bottom