The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mtu mwizi utaandika kwa roho ya upendo? Hujui yeye kuiba hizo hela amesababisha watu wangapi kufa kwa kukosa huduma ambayo ingeweza kutolewa na hiyo pesa?Umeandika ki roho ya chuki
Sure, kwa malaya 40 40 haikua na masihala. Hasa VIP ilikua na malaya wa kufa mtu.Duh bar ilikuwa tamu sana,,,full malaya!
Ila kwanini wamiliki wa Bar za aina hii huwaga wana associate na scandal za kutisha?Sure, kwa malaya 40 40 haikua na masihala. Hasa VIP ilikua na malaya wa kufa mtu.
Inategemea tatizo la watu wengi wanapenda kufanya biashara, kimya kimya bila kutaka kuhusisha mke, watoto, ndugu, ili hata kesho na kesho kutwa yakitokea majanga waweze kuendeleza!! Tofauti na wahindi, na hata hapa tz, mfano mzuri ni wachaga utakuta na wanafamilia wanaijua vizuri hiyo biashara!!!Bar imefungwa au mmiliki ndio amefungwa?
Kwamba uongozi wa bar ulishindwa kujiendesha kisa boss kafungwa au namna gani?
Inategemea tatizo la watu wengi wanapenda kufanya biashara, kimya kimya bila kutaka kuhusisha mke, watoto, ndugu, ili hata kesho na kesho kutwa yakitokea majanga waweze kuendeleza!! Tofauti na wahindi, na hata hapa tz, mfano mzuri ni wachaga utakuta na wanafamilia wanaijua vizuri hiyo biashara!!!
Bar ni matokeo ya pesa ya wizi hivyo na yenyewe imefungwa, ni sehemu ya ushahidi wa wizi wa pesa yake.Bar imefungwa au mmiliki ndio amefungwa?
Kwamba uongozi wa bar ulishindwa kujiendesha kisa boss kafungwa au namna gani?
Hata sielewi mkuu.Ila kwanini wamiliki wa Bar za aina hii huwaga wana associate na scandal za kutisha?
Kwa huku mkoa kulikuwa na Bar inaitwa "Mekus Bistro" ilijizolea umaarufu mkubwa sana hasa kwa wageni kutoka mkoa wa Dar hasa wale ndugu zangu wa aika mbee!
Cha ajabu ilivunjwa kwa amri ya mahakama na wana Takukuru. Mmiliki alikuwa na msala wa uhujumu uchumi na acc. yake inasemekana ilikutwa na 20B ambayo uhalali wake ni wa kutatanisha wakati cease kwa tetesi kwamba ilikuwa kijiwe cha wauza ngada.
Kwa sasa kitambaa cheupe ndio tunakula maisha.Kumbe ndipo alipotoa mtaji huko....
Wawaachie na madogo wapo kitaa nao waingie job wapate mtaji...
Anyways twendeni Kitambaa Cheupe sasa